Mwakyembe acha siasa bandarini, unaua uchumi wetu

Nimechelewa sana kuandika kwasababu nimekuwa nikirudia kusoma makala hiyo mara kadhaa,lakini sijaiona hiyo SIASA anayo isema mwandishi huyo!
 
hapana wanajf tuwe serious kidogo na masuala kadhaa.sio kwa kuwa mtu anachangia hapa na kutoa mawazo objective na kumsema kuwa au na yy ni mhusika wa utendaji mbovu wa sehemu zetu nyingi bandar ikiwemo.

kuwa objective ni kitu mhimu sana kwa masuala kama haya ya kutafuta namna bora ya kuendesha taasisi zetu kwa ufanisi.nivizur tukawa tunafanya utafit kidogo ukiweza fanya sana upate data then uchangie ili uwassidie wasiojua .

kwa leo niseme hivi sina tatizo na malengo mazuri ya mwakyembe ya kuboresha bandari lkn ni tatizo na approach.mfano tume aliyouiunda chini ya mbakileki mtu anaweza akajiuliza maswali kadhaaa akakosa majibu na hatimaye akasema kamati haikuwa huru.Mbakileki alikuwa mtumishi wa bandari katika ngazi ya juu kabisa kama mtu wa legal ndani ya bandari

nimefatilia kidogo kutaka kujua kwa nn aliondoka pale nikajua kuwa alihamishwa akaenda sehem nyingine kwa sababu wanasema yy na mwenzio dau waliifanya bandar isitawalike wakafanyiwa uhamisho wa lazima lakn wao kama wao hawakupenda kuhama hasa mbakileki ambaye alipelekwa kwenye njaa ukimlinganisha mwenzie dau aliyepelekwa nssf.

sasa mtu kama huyu ndio alipewa uenyekiti wa tume ile ya kuiangalia tpa kwa jicho la kiunchunguzi unategemea atatoa mawazo huru kweli na hata akitoa mawazo huru watu wanaomjua watapata wasiwasi naye na ndio mana hata wakati anawasilisha ripot yake alikuwa na bwembwe sana kama mwakyembe alivokuwa wakat wa richmond lkn matokeo yake tuliyaona mpaka leo hajaeleza ukweli wote kama alivoahidi.

kwa sasa nimalize kwa kusema mwakyembe apambane atumie nafas yake kuhangaikia reli iwe sawa kabisa hakika bandari kweli itakuwa kma mgodi mwingine kma mbakileki anavosema bt otherwise tutaendelea kuilaumu bandar tu bila ya kuwa na ufanisi na kushitukia kila mjasiliamali anafungua inland container depot ili kuhifadhi mizigo ambayo haiwez kwenda kwa kasi maana maloli hayawez kubeba mizigo yote kwa pamoja.
 
Mwandishi ni kama CCM isiyotaka kupisha wenzao washike dola. Alete nini kinafanya bandari iwe mbaya kwa sasa au yeye anaona effeciency ipo full. jana kasema kuna watu kibao mtaani hawana job wanasubiri hizo nafasi so kama wameshindwa wapishe wenzao.
 
Back
Top Bottom