Mwakitinya: Wapinzani kwao tume inakuwa nzuri wakishinda, wakishindwa inakuwa mbaya

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
82,531
Points
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
82,531 2,000
"Nawashangaa sana wapinzani wanalalamika wanataka Tume huru ya uchaguzi kana kwamba hakuna tume, kungekuwa hakuna tume huru kule bungeni kusingekuwa na wawakilishi wao au kwenye madiwani. Wao Tume inakuwa nzuri wakishinda, wakishindwa inakuwa mbaya"- MNEC Mwakitinya.

Nashindwa kuwaelewa hawa viongozi wengine wanaoshindwa kutafsiri maana ya tume huru sijui huo uongozi waliupataje.

FB_IMG_1578925760457.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ushora Ndago

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Messages
300
Points
500

Ushora Ndago

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2019
300 500
hahahahaaha huyu jamaa nimemakiza nae bachelor degree hapo cbe dar

Sent using Jamii Forums mobile app
Amesoma lakini hajaelimika. Watu wa sampuli hii ndio wanachafua sana CCM ! Tume huru ya uchaguzi ni takwa la kikatiba na sio la vyama vya siasa.
 

Forum statistics

Threads 1,391,391
Members 528,393
Posts 34,079,859
Top