Mwakinyo kaonesha utofauti kati yake na mabondia wanaoogopa kwenda Urusi

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar wadau,

Miaka yote ukwel husimama sehemu sahihi toka mwanzo Niliwaambia kuwa Mwakinyo ni Mtu muhimu Sana kwenye Tanzania yetu kwani kipaji na uwezo wake ni mkubwa Sana Zaid ya maneno yake.

Mwakinyo Ndie Bondia pekee Tanzania anaetoa raha kila baada ya pambano. Mwakinyo ndie Bondia pekee mwenye muonekano wa kistaa na maisha ya kingumu.

Wale Bondia wetu wengine walioletwa ili kumpoteza Mwakinyo wamezunguka na Kiki plas majigambo mwisho wa siku wanakuja kutuambia Tusiende Urusi Kwan tutapigwa. Mwanajesh gani anachagua vita?
 
Ila dullah mbabe ana mbwembwe sana akawatishia mabondia wa bongo wasiende Russia kuna ngumi jiwe.
 
Mkuu kuna mtu huku kaniambia eti aliyepigana nae anazidiwa ubora na Twaha kiduku. Eti hata kwenye box re yoko chini zaidi ya kiduku, kuna ukweli wowote hapo?

Na kama ni kweli kwann Mwakinyo asikipige na kiduku?
 
Back
Top Bottom