Mwakilishi wa WHO nchini Equatorial Guinea atakiwa kuondoka, atuhumiwa kudanganya idadi ya wagonjwa wa Corona

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mwakilishi wa Shirika la Afya (WHO) nchini humo, Triphonie Nkurunziza anatuhumiwa kwa kudanganya idadi ya visa vya CoronaVirus na kutakiwa kuondoka

Waziri Mkuu Pascual Obama Asue amesema hawana tatizo lolote na WHO, bali wana tatizo na Mwakilishi wa Shirika hilo aliyekuwepo Mjini Mkuu wa nchi hiyo, Malabo

Wakati mwingine idadi ambazo zimekuwa zikiwekwa na Shirika hilo zimekuwa juu kuliko zile zinazotolewa na Serikali, japokuwa hivi sasa idadi inalingana

Equatorial Guinea imerekodi visa 1,306 na vifo 12 huku wagonjwa waliopona wakiwa 200

=====

The World Health Organization’s representative in Equatorial Guinea has been ordered to leave the country, after officials accused her of falsifying coronavirus case numbers.

In a document seen by AFP on Tuesday, the foreign ministry asked the UN health agency’s regional office in Africa “to end the duties” of its representative in Equatorial Guinea, Triphonie Nkurunziza, “and immediately oversee her departure from Malabo.”

The prime minister, Pascual Obama Asue, appearing at the Senate last Friday, accused Nkurunziza of “falsifying the data of people contaminated” by the coronavirus. “We don’t have a problem with the WHO, we have a problem with the WHO’s representative in Malabo,” he said in remarks broadcast on state television.

A source at the UN office in Malabo, speaking on condition of anonymity, confirmed the government’s request but declined to go into details. “The government has asked her to go, we have received a document - she is accused of falsifying Covid-19 figures,” the source said. However, Nkurunziza is still in Malabo, Equatorial Guinea’s island capital, as there are no flights enabling her to leave, the source said.

Officials say that as of Monday there were 1,306 recorded cases of coronavirus, 12 of them fatalities, in a population of 1.3 million. The official tally used to be updated daily, but this practice stopped on 28 April, and the update is now being published only from time to time.

Figures put forward by the WHO have sometimes been somewhat higher than the national tally, although both tolls are the same right now.

Source: The Guardian
 
Wa Africa wahuni sana
Shida yenu mnawaamini Sana wazungu, hivi takwimu zinazotolewa na Marekani unaziona sahihi Sana na kuziamini zinazotolewa Guinea?

Ifike mahali muone wazungu nao ni watu Kama nyie na siyo miungu!
Huyo mwakilishi wa WHO ni mwafrika lakini anatoa takwimu ajuazo yeye kuliko za serikali husika.
 
Shida yenu mnawaamini Sana wazungu, hivi takwimu zinazotolewa na marekani unaziona sahihi Sana na kuziamini zinazotolewa Guinea?

Ifike mahali muone wazungu nao Ni watu Kama nyie na siyo miungu!
Huyo mwakilishi wa WHO Ni mwafrika lakini anatoa takwimu ajuazo yeye kuliko za serikali husika.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi tester mlizitengeneza nyingi? Hhah
 
Equatorial Guinea nao bhana,

Hivi wakati anapangiwa huyo mwakilishi wa WHO hata jina lake halikuwashtua...... ...!
 
Back
Top Bottom