Mwakilishi wa Kudumu Wa Tanzania UN Kwa Niaba Ya Amiri Jeshi Mkuu Amvisha Cheo Luteni Kanali Msengi Kuwa Kanali

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,702
Wadau wa JF

Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Balozi Gaston Kennedy kwa niaba ya Rais wa Tanzania & Amiri Jeshi Mkuu amemvisha cheo Luteni Kanali Donald Msengi kuwa Kanali

Kanali Msengi amekuwa akihudumu kama Afisa Mnadhimu katika Idara ya Ulinzi wa Amani Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.

Kazi iendelee

*Habari Leo
 
Okay
 
Sijawahi kuvielewa vyeo vya jeshi, naskia tu mara kanali mara luteni mara amir jeshi nk
 
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom