Mwakala Chadema wapewe SIM card mbili usiku wa kuhesabu kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakala Chadema wapewe SIM card mbili usiku wa kuhesabu kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 26, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wadau, wapenda haki:

  Kuna taarifa kwamba kuna baadhi ya mitandao ya simu za mkononi zitafungwa kuanzia jioni siku ile ya kupiga kura (wakati wa kuhesabu kura) ili kusiwepo mawasiliano kati ya mawakala wa vituo na viongozi wa vyama mbali mbali.

  Ili kuhakikishe mawakala na viongozi wa chama tawala CCM wanawasiliana, basi wao watapewa SIM card ya ile/ule mtandao ambao mafisadi hawana uwezo nao.

  Nakiri mimi nashindwa kuamini habari hii, lakini lolote lawezekana kwa hawa CCM kwani kumnyan'ganya mtu mnofu ulio mdomoni si kitu anachoweza kuridhia kiurahisi. Viongozi wa Chadema wawe macho kuhusu hili -- na ikiwezekana mawakala wao wawe na simu zenye mitandao angalau miwili to be on the safe side.
   
Loading...