Mwaka wa sita huu UAMSHO wapo ndani hii nchi duuh

Jambo hili ni kweli kabisa.
Kama Mwarabu asingepinduliwa Zanzibar, leo hii nchi ya Zanzibar ingekuwa ktk himaya ya Waarabu.
Wazee wa Kinzanzibari waliona ni afadhari kuungana na Watanganyika kuliko kuendelea kutawaliwa na Mwarabu.
Cha ajabu sasa hivi wanatamani kuungana na Waarabu zaidi, watanganyika wanaonekana nuksi
 
Ni HAKIKA
Tokea hawa Wanaojiita Mashehe wa Uamsho wawekwe ndani, Hali ya Visiwani Zanzibar iko Shwari kabisa.
Wanaowahitaji hawa Mashehe sijui wanafikiria nini, au labda ni wafuasi wao katika uhalifu.
Mashehe wamebadilishiwa tu sehemu ya kuishi.
Mkiwatoa muwalete waje kuishi huku Mafinga, tutawapa viwanja na kuwajengea nyumba za kuishi bure Kabisa.
Katu hao watu hawastahili kuishi tena Zanzibar. Waleteni Mafinga maana na Hili Baridi watatulia tu.
 
Hao walishafanyiwa uchunguzi wakabainika kuwa sio watu wa uamsho bali ni MAJAMBAZI.
 
Mahakama zina maana kwa watu wengine lakini sio kwa hao wana uamsho.Hao dawa yao bado inatokota ikiiva watainywi tu.
 
Alipigwa risasi akiwa anashuka kwenye gari kwenda kusoma Misa Takatifu katika Parokia ya Mpendae.

Anaitwa Everist Mushi, na alikufa hapohapo.

Padri Mkenda alijeruhiwa kwa risasi.


Halafu leo kuna jitu linataka hao magaidi waachiwe???
Nikusahihishe kidogo. ..Padre Mushi, alikua anashuka Parokia ya Mtoni. ..Pale oposite na Beyt el ras
 
Weka ushahidi km uamsho ulihusika mlidhulumiana Mzigo mdogo hatimae mkauana na wala uamsho hawakushikwa kwa issue hiyo na hakuna Mtu alie shikwa REJEA KHUTUBA YA MH TUNDU LISSU ALOZUNGUMZA NA WATANZANIA NEW YORK DC UJUE KWA NN UAMSHO WAPO NDANI WACHA KUPANDIKIZA CHUKI ZA KIJINGA ZA KIDINI
Wamarekani. .walikuja. .wakafanya upelelezi na wakachora picha ya mtu aliyefanya tukio. ..hawakusema chochote kuhusiana na habari za drugs. ..habari ya drugs ilisambazwa na watu wenye nia ya kupotosha ukweli ili kuficha jinai yao
 
Laaillah ha ilallah muhammad rasululah.
Mwenyezi mungu ni mmoja na mohammad ni mtume wake.
Yeye ndiye atakayetoa hukumu kwa hili inshallah
 
Insha Allah,Nasi tukumbuke hatutoishi milele katika hii dunia,Wao watafia gerezani na sie tutafia katika mahospitalini ama majumbani kwetu,lakini sote mchanga ndio utakaotufunika ardhini
Walitakiwa walijue hili kabla ya kumuu padri Mushi.
 
Huu ni uonevu mkubwa sana. Siungi mkono hata kidogo. Na jambo hili linatujengea hali ya kuchukiana kati ya Waislamu na Wakristu. Raisi afanye maamuzi magumu kama aliwatoa babu Seya kwa nini ameshindwa kuwatoa hawa watu. Je wameshiriki wapi huo ugaidi kama sio chuki tu za kisiasa!?
 
Hao ni magaidi, tena washukuru wako ndani muda wanalishwa kwa kodi zetu sisi wananchi.

Kwa Nchi za mwenzetu ilitakiwa wawe washatangulizwa kuzimu kwa either kupigwa Risasi au kuchomwa Lethal injection.
 
Kaka kuna katiba ya kuandikwa na katiba isiyoandikwa . Wewe unataka swala lao lishughulikiwe kwa katiba ya kuandikwa wakati ni swala linaloshughulikiwa na ile isiyo ya kuandikwa . Nafikiri nimeeleweka .
Huu ni mwaka wa sita viongozi wa UAMSHO wanaozea ndani kwa makosa ambayo hayeleweki

Wamenyimwa dhamana mpaka leo

Watawala na ccm tendeni haki hii ni yetu soteView attachment 1080901
 
Back
Top Bottom