Mwaka wa pili, bado tunaunda Serikali. Watanzania tuna matatizo

Boeing

Senior Member
Apr 16, 2017
151
421
INAFURAHISHA, INASIKITISHA!!
Ni mwaka wa pili unaisha sasa tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani

Bado mh anatafuta watu wa kufanya nao kazi. kila anayemteua baadaye kidogo anamuona mzigo

Hata wale wa karibu naye ni kama wamepigwa ganzi. wanaogopa kutenda wasije wakamkwaza mkuu. kila kitu anafanya yeye

Huwa najiuliza; Hivi kweli katika watanzania woote milioni 50 inachukua miaka 2 kupata japo watu 200 wa kufanya nao kazi??
kama ndio basi watanzania tu viumbe wa ajabu sana. pengine ile slogan ya elimu elimu elimu ya mtu flani ilikuwa sahihi?? Au possibly tatizo lipo kwa anayetuteua, ana akili nyingi sana za kung'amua udhaifu wa mteule wake!!?
 
Nimeipenda Makala yako.
Kitakachotokea jamaa sasa hivi Ataanza kujipanga na uchaguzi.
 
Nchi bado haijakaa vizuri hii,Kikwete mwenyewe mwaka wa tatu alikuwa bado anaunda nchi,si alijitumbua Lowassa akamuweka Pinda
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kweni kuna shughuli za maendeleo zimekwama?unapohudumia familia yako mambo mengine ya kurekebisha tabia za watoto ndo haziendelei pia?
Ni kweli naku support, hata nyumba hujengwa ila kiukweli hakuna aliye wahi kumaliza ukarabati, kila baada ya muda utaona rangi imefifia, au korido zinahitaji kuboreshwa, mara paa limechoka au unahihaji kubadili design, so kujenga taifa na kuimarifa uongozi ni swala endelevu wakati mambo mengine yanaendelea
 
Back
Top Bottom