Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
Leo ni siku ya 29 mwezi Februari inayootokea kila baada ya miaka 4.
Miaka mirefu
Muda kamili wa mzunguko mmoja wa dunia kwenye mzingo wake ni siku 365.2425 kwa hiyo unazidi muda wa mizunguko 365 wa dunia kwenye kipenyo chake. Hivyo Kalenda ya Gregori inatumia utaratibu ufuatao wa kupatanisha tofauti hiyo:

- kila mwaka wa nne utakuwa na siku 366 badala ya 365 kwa kuongeza tarehe 29 Februari. Mifano: 1892, 1996; 2004, 2008, 2012