Mwaka wa 9 & counting: JK hana dalili za kujitambua kuwa ni Rais na si Waziri tena wa Mambo ya Nje?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,197
CCM wanahitaji kusaidiwa kufuta vitu vya zamani ili waweke vipya bila hivyo wanatushikilia ktk karne iliyopita forever..Hawana refresh mechanism.JK hadi leo anagombea uwaziri na Membe, pengine sasa hivi JK anaweza kuwa hata anakwenda loga akidhani membe anampindua.Pinda ndio kabisa hajui kuwa ni waziri mkuu...na anatakaiwa kuwa alisha ashumu majukumu long time..bado anadhani yupo serikali za mitaa... Hii shinda ya CMC kutoweza update vichwa vyao na mitizamo yao ni mojawapo ya shida kubwa kwa watanzania...ndio shida kubwa sana.Vipi ndio maana wanataka endesha nchi ya kidigitali kwa kutumia analogia....ndio maana leo CCM ni wapinga maendeleo kuliko kuleta maendeleo.Nina mashaka km maCCM hawashindani na wapishi wao nyumbani ili wabaki kuwa wao ndio wajanja zaidi...
 
Leo membe anongea km waziri wa ulinzi, lowasa mara nyingine waziri wa ulinzi,mara nyingine rais, mara nyingine waziri wa mambo ya nje, mara nyingine waziri wa viwanda ,mara nyingine waziri wa elimu, bilal mkata utepe na kuongea obvious ktk mikutano halafu andhani kuwa anatoa maelekezo...PINDA ANGEKUWA CAST YENYE AKILI ANGEKUWA NDIE RAIS KM PUTIN ALIVYOKUWA..ILA KWA VILE NAYE NI KM JK ANAONGOZWA KTK DARASA NA MTOTO WAKATI YEYE KILA SIKU YUPO DARASANA NA ALIWAHI KUWA BOSS WA USALAMA WA NCHI.
 
Napata na swali jingine au Membe ae pia anapwaya zaidi na si addiction ya JK na hiyo nafasi?Sasa litakuweje janga jingine kwa taifa km hiyo ndio tabia ya hii wizara..?
 
Hatuhitaji kuharibu miaka mingine 10. Lets think ahead. But jf alone can not change the trend. Nadhani wana jf tuende vijijini kuwaelimisha watz ili wasijerudia makosa tena. Mjini ni waelewa tatizo ni vijijini ndo maana mzee wa tuskeri na domo kaya wanazunguka vijijini kuwadanganya watz wengi waliopo vijijini. Niliwahi kufika kaliua ukiangalia hali ya watz maeneo hayo itakuwa vigumu sana kuleta mabadiliko 2015. Hakuna radio hata moja inasikika. Wao wanaamini wanachoambiwa na viongozi wao.
 
Ngoja maroboti ya Lumumba yaamke halafu yaje,utaona yanaitana huku yanatiririsha vapour tu!!!
 
CCM wanahitaji kusaidiwa kufuta vitu vya zamani ili waweke vipya bila hivyo wanatushikilia ktk karne iliyopita forever..Hawana refresh mechanism.JK hadi leo anagombea uwaziri na Membe, pengine sasa hivi JK anaweza kuwa hata anakwenda loga akidhani membe anampindua.Pinda ndio kabisa hajui kuwa ni waziri mkuu...na anatakaiwa kuwa alisha ashumu majukumu long time..bado anadhani yupo serikali za mitaa... Hii shinda ya CMC kutoweza update vichwa vyao na mitizamo yao ni mojawapo ya shida kubwa kwa watanzania...ndio shida kubwa sana.Vipi ndio maana wanataka endesha nchi ya kidigitali kwa kutumia analogia....ndio maana leo CCM ni wapinga maendeleo kuliko kuleta maendeleo.Nina mashaka km maCCM hawashindani na wapishi wao nyumbani ili wabaki kuwa wao ndio wajanja zaidi...

UNAMATATIZO NICO SOMA KWANZA HAPA KUHUSU VYAMA VENU.
[h=2]Vyama vya siasa Tanzania na Afrika havipati mafanikio sababu viongozi wake wanang'ang'ania madaraka[/h]
MGOGORO NDANI YA MDC NA KUSIMAMISHWA KWA MORGAN TSAVANGARAI ZIMBABWE: UNATOA FUNZO LOLOTE KWA VYAMA VYA UPINZANI TANZANIA?

Morgan Tsavangarai alijulikana kama ndiye mtu anayeweza kumshinda Robert Mugabe na kumaliza utawala wake wa tangu nchi ilipopata uhuru.
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1999 chama cha MDC kimekuwa kikiongozwa na Tsavangarai na Ni yeye ndiye amekuwa mgombea wa chama hicho Mara tatu sasa.
Baada ya kushindwa katika uchaguzi uliopita ndani ya chama kuliibuka wanachama wanaotaka aachie ngazi na,kupisha wengine wakiongozwa na katibu mkuu wa MDC Bwana Tendai Biti.

Kati ya madai anayokabiliwa nayo Bwana Tsavangarai Ni:
•Kung'ang'ania madaraka na kutotaka kupisha wengine nafasi ya uongozi wa chama,kitendo hiki kimetafsiriwa kama kukiuka misingi ya demokrasia ambayo MDC imekuwa inaihubiri hadharani inayobebwa na jina la chama(Movement for Democratic CHANGE-Vuguvugu la Mabadiliko ya Kidemokrasia).Anatuhumiwa kwa kuanzisha ufashisti ndani ya Chama.

•Kuwafanyia hila,kuwafukuza na kupanga njama kumdhuru kila mmoja ambaye amekuwa akitaka mabadiliko ya Uongozi ndani ya MDC.
•Ameshindwa kukipa chama ushindi katika ngazi ya urais Mara 3 alizogombea na kura za ubunge zimeendelea kushuka.
•Kwa kipindi alichokuwa waziri Mkuu 2009-20013 hakuna mabadiliko ya dhati yaliyotokea. •Matumizi mabaya ya fedha za chama.
Hata hivyo Tsavangarai amekanusha kufukuzwa na,kusema kuwa waliofanya hivyo wamevunja katiba ya Chama. Mgogoro huu unaendelea kudhoofisha upinzani na unatoa nguvu zaidi kwa Zanu-PF

Hakuna tofauti kati ya tuhuma hizi na zile zinazowapata viongozi wa vyama vya siasa hasa vya upinzani hapa tanzania. Mfano ni Mrema ni mwenyekiti wa TLP tangu amehamia Chama hicho. Yeye ndio alikuwa chanzo cha kusambaratika NCCR mageuzi..,viongozi wa chadema, cuf, NCCR nao wana tabia hizi hizi.

ILI KUIMARISHA DEMOKRASIA,NI LAZIMA KUWE NA MBADILISHANO WA UONGOZI NDANI YA VYAMA VYA SIASA.​
 
CCM wanahitaji kusaidiwa kufuta vitu vya zamani ili waweke vipya bila hivyo wanatushikilia ktk karne iliyopita forever..Hawana refresh mechanism.JK hadi leo anagombea uwaziri na Membe, pengine sasa hivi JK anaweza kuwa hata anakwenda loga akidhani membe anampindua.Pinda ndio kabisa hajui kuwa ni waziri mkuu...na anatakaiwa kuwa alisha ashumu majukumu long time..bado anadhani yupo serikali za mitaa... Hii shinda ya CMC kutoweza update vichwa vyao na mitizamo yao ni mojawapo ya shida kubwa kwa watanzania...ndio shida kubwa sana.Vipi ndio maana wanataka endesha nchi ya kidigitali kwa kutumia analogia....ndio maana leo CCM ni wapinga maendeleo kuliko kuleta maendeleo.Nina mashaka km maCCM hawashindani na wapishi wao nyumbani ili wabaki kuwa wao ndio wajanja zaidi...

wewe na chadema yako unakumbuka maneno haya ya lipumba.
[h=2]Prof. Lipumba alikuwa ana maana gani anaposema viongozi wa CHADEMA ni wacheza disko[/h]
attachment.phpProfesa Lipumba alitoa kauli hiyo wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Pangani katika mwendelezo wa mikutano ya chama hicho 'kuwazindua Watanzania katika kujenga demokrasia ya kweli hapa nchi'.

Alisema wafanyabiashara wa Chadema hawawezi kuongoza mapambano dhidi ya ufisadi kwa kuwa tayari wako katika mazingira ya kukumbatia rushwa, hivyo ni vigumu wao kuongoza mapambano hayo kama wanavyodai.

"Ndugu zangu wafanyabiashara na wapiga disko wa Chadema wanataka kuwang'oa mapapa ya ufisadi wa CCM ili wao manyangumi ya ufisadi waweze kuingia madarakani, hawana nia thabiti ya kupambana na rushwa," alisema Profesa Lipumba.

Alisema aliingia kwenye siasa kwa lengo la kuwasaidia Watanzania sio kutafuta sifa kama walivyo baadhi ya wanasiasa wa Chadema.

"Sikuingia kwenye siasa kutafuta sifa, nimeingia kutumia elimu yangu kuwatafutia ukombozi Watanzania wenzangu, sasa hawa Chadema hawawezi kuiondoa CCM kwa kuwa wanachochea mgawanyiko mkubwa ndani ya nchi kwa kuwatukana Wanzanzibari waliokubali Serikali ya Umoja wa Kitaifa," alisema Profesa Lipumba.
quote_icon.png
By MTK 
UNAMATATIZO NICO SOMA KWANZA HAPA KUHUSU VYAMA VENU. [h=2]Vyama vya siasa Tanzania na Afrika havipati mafanikio sababu viongozi wake wanang'ang'ania madaraka[/h]
MGOGORO NDANI YA MDC NA KUSIMAMISHWA KWA MORGAN TSAVANGARAI ZIMBABWE: UNATOA FUNZO LOLOTE KWA VYAMA VYA UPINZANI TANZANIA? Morgan Tsavangarai alijulikana kama ndiye mtu anayeweza kumshinda Robert Mugabe na kumaliza utawala wake wa tangu nchi ilipopata uhuru. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1999 chama cha MDC kimekuwa kikiongozwa na Tsavangarai na Ni yeye ndiye amekuwa mgombea wa chama hicho Mara tatu sasa. Baada ya kushindwa katika uchaguzi uliopita ndani ya chama kuliibuka wanachama wanaotaka aachie ngazi na,kupisha wengine wakiongozwa na katibu mkuu wa MDC Bwana Tendai Biti. Kati ya madai anayokabiliwa nayo Bwana Tsavangarai Ni: •Kung'ang'ania madaraka na kutotaka kupisha wengine nafasi ya uongozi wa chama,kitendo hiki kimetafsiriwa kama kukiuka misingi ya demokrasia ambayo MDC imekuwa inaihubiri hadharani inayobebwa na jina la chama(Movement for Democratic CHANGE-Vuguvugu la Mabadiliko ya Kidemokrasia).Anatuhumiwa kwa kuanzisha ufashisti ndani ya Chama. •Kuwafanyia hila,kuwafukuza na kupanga njama kumdhuru kila mmoja ambaye amekuwa akitaka mabadiliko ya Uongozi ndani ya MDC. •Ameshindwa kukipa chama ushindi katika ngazi ya urais Mara 3 alizogombea na kura za ubunge zimeendelea kushuka. •Kwa kipindi alichokuwa waziri Mkuu 2009-20013 hakuna mabadiliko ya dhati yaliyotokea. •Matumizi mabaya ya fedha za chama. Hata hivyo Tsavangarai amekanusha kufukuzwa na,kusema kuwa waliofanya hivyo wamevunja katiba ya Chama. Mgogoro huu unaendelea kudhoofisha upinzani na unatoa nguvu zaidi kwa Zanu-PF Hakuna tofauti kati ya tuhuma hizi na zile zinazowapata viongozi wa vyama vya siasa hasa vya upinzani hapa tanzania. Mfano ni Mrema ni mwenyekiti wa TLP tangu amehamia Chama hicho. Yeye ndio alikuwa chanzo cha kusambaratika NCCR mageuzi..,viongozi wa chadema, cuf, NCCR nao wana tabia hizi hizi. ILI KUIMARISHA DEMOKRASIA,NI LAZIMA KUWE NA MBADILISHANO WA UONGOZI NDANI YA VYAMA VYA SIASA.​
ujumbe wa hadithi hii ni nini?Kuwa JK hatokaa awe rais...?Au anajihisi kuwa wizi wa kura ndio uliomuweka.Najua JK hajawahi kuwa na amani ya urais haswa awamu ya pili....siku zote amekuwa akitaka sana kukubalika na Dr. Slaa na Mbowe......
 
UNAMATATIZO NICO SOMA KWANZA HAPA KUHUSU VYAMA VENU. [h=2]Vyama vya siasa Tanzania na Afrika havipati mafanikio sababu viongozi wake wanang'ang'ania madaraka[/h]
MGOGORO NDANI YA MDC NA KUSIMAMISHWA KWA MORGAN TSAVANGARAI ZIMBABWE: UNATOA FUNZO LOLOTE KWA VYAMA VYA UPINZANI TANZANIA? Morgan Tsavangarai alijulikana kama ndiye mtu anayeweza kumshinda Robert Mugabe na kumaliza utawala wake wa tangu nchi ilipopata uhuru. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1999 chama cha MDC kimekuwa kikiongozwa na Tsavangarai na Ni yeye ndiye amekuwa mgombea wa chama hicho Mara tatu sasa. Baada ya kushindwa katika uchaguzi uliopita ndani ya chama kuliibuka wanachama wanaotaka aachie ngazi na,kupisha wengine wakiongozwa na katibu mkuu wa MDC Bwana Tendai Biti. Kati ya madai anayokabiliwa nayo Bwana Tsavangarai Ni: •Kung'ang'ania madaraka na kutotaka kupisha wengine nafasi ya uongozi wa chama,kitendo hiki kimetafsiriwa kama kukiuka misingi ya demokrasia ambayo MDC imekuwa inaihubiri hadharani inayobebwa na jina la chama(Movement for Democratic CHANGE-Vuguvugu la Mabadiliko ya Kidemokrasia).Anatuhumiwa kwa kuanzisha ufashisti ndani ya Chama. •Kuwafanyia hila,kuwafukuza na kupanga njama kumdhuru kila mmoja ambaye amekuwa akitaka mabadiliko ya Uongozi ndani ya MDC. •Ameshindwa kukipa chama ushindi katika ngazi ya urais Mara 3 alizogombea na kura za ubunge zimeendelea kushuka. •Kwa kipindi alichokuwa waziri Mkuu 2009-20013 hakuna mabadiliko ya dhati yaliyotokea. •Matumizi mabaya ya fedha za chama. Hata hivyo Tsavangarai amekanusha kufukuzwa na,kusema kuwa waliofanya hivyo wamevunja katiba ya Chama. Mgogoro huu unaendelea kudhoofisha upinzani na unatoa nguvu zaidi kwa Zanu-PF Hakuna tofauti kati ya tuhuma hizi na zile zinazowapata viongozi wa vyama vya siasa hasa vya upinzani hapa tanzania. Mfano ni Mrema ni mwenyekiti wa TLP tangu amehamia Chama hicho. Yeye ndio alikuwa chanzo cha kusambaratika NCCR mageuzi..,viongozi wa chadema, cuf, NCCR nao wana tabia hizi hizi. ILI KUIMARISHA DEMOKRASIA,NI LAZIMA KUWE NA MBADILISHANO WA UONGOZI NDANI YA VYAMA VYA SIASA.​
Matatizo yako yamezidi zaidi.......sasa hizi habari zinahalalisha vipi JK kugombea uwaziri wa mambo ya nje ya Membe badal ya kuwa rais?..Naona umeamua niwekea na pinda kabisa ili kuonyesha kuw anipo sahihi..kuwa hata pinda nae hajatokaktk serikali za mitaa..
 
Leo membe anongea km waziri wa ulinzi, lowasa mara nyingine waziri wa ulinzi,mara nyingine rais, mara nyingine waziri wa mambo ya nje, mara nyingine waziri wa viwanda ,mara nyingine waziri wa elimu, bilal mkata utepe na kuongea obvious ktk mikutano halafu andhani kuwa anatoa maelekezo...PINDA ANGEKUWA CAST YENYE AKILI ANGEKUWA NDIE RAIS KM PUTIN ALIVYOKUWA..ILA KWA VILE NAYE NI KM JK ANAONGOZWA KTK DARASA NA MTOTO WAKATI YEYE KILA SIKU YUPO DARASANA NA ALIWAHI KUWA BOSS WA USALAMA WA NCHI.

Ha! Ha! Haaaaa!!! nimekuelewa SANA MKUU !
 
kuna kitu nimekiona kwenye uzi huu , ni kwamba hata wenye vyeo vikubwa bado wanavitamani vile vyeo vidogo walivyoviacha .
 
CCM wapo Idle sana..kwa vile hawajui vitu,hawajifunzi vitu ..ndio maana hawapo time conscious, kwa vile hawajifunzi wala kufuatilia mambo ni rahisi sana kujiona hawana kazi, kwa kiasi cha kwenda fanya kazi za wengine.Si unakumbuka mwakyembe alikuwa akifnaya kazi za waziri wa mambo ya ndani..CCM hata taarifa ziingiazo bungeni huwa hawasomi..hadi wasikie zimepata umaarufu nje ya bunge au ndani zikisomwa na mpinzani..Ndipo wanaanza itana na kuambiana kila mmoja aseme alichoelewa,JK akiingia nae anawamwagia habari za kupepesa km tafsiri za secondary kuhusu vitabu vya riwaya...kutokea hapo utawasikia km makondoo kuwa JK katoa ufafanuzi mzuri sana.
 
Ukihesabu jumla ya safari za miaka 10 ya JK akiwa waziri wa mambo ya nje na miaka 10 akiwa rais asiyejitambua utagundua hakuna kiongozi yeyote ambaye amesafiri ughaibuni kumpita wala kumkaribia JK kote ulimwenguni

Jamaa ana ugonjwa wa safari na hii dunia itamuenzi kwa kutembea kama sattelite duniani,like son like father,hata kibajaji chake wanachalinze be watchful indeed.
 
Mkuu Nicholas umesahau raisi wetu ana Phd ya kuhuzuria mazishi?
Haha...bado pose na akina 50Cent, Beckham etc.....nadhani tungekuwa tumeshtuka huyu Jk ni kimeo hivi .kuwa hakuwahi waona akiwa waziri sijui alijona hana hadhi ,ila alipokuwa rais ndipo anakwenda watafuta apate picture..tungekuwa tunaandaa matamasha yao na kukaribisha majirani ili walete hela za kuondoa hasara, na JK apige nao picture.....JK utadhani kijana masikini kijiji aliyekuwa akiwatolea macho warembo wa kijiji,halfu akija mjini na kupata vihela kidogo basi akirudi kijiji lazima arudi kijiji akwatafute wote ili kurekebisha PR...by that time wenye akili huwaona hao warembe sivyo km ilivyokuwa enzi ya shida.
 
Last edited by a moderator:

Photo opportunity hamna lolote. Country needs a sharp redemption.
 
Back
Top Bottom