Mwaka unaisha! Ni mambo gani yamekufanya uchelewe kuoa au kuolewa kutokana na umri wako?

Like and vise versa is true!
abf22a04a83e41f5a3e1ee5b1759eea6.jpeg
 
ukituliza akili na kupunguza tamaa za kimwili ni rahisi sana kumpata mke/mume kwa wakati mfupi. Ukiona mtu anayejifahamu ni wa thamani kuliko pesa, fanya haraka mkakati wa kuwa nae uishi nae. Mwanaume ukipata mwanamke anayekuheshimu sana, mzuri, anayependa ule chakula cha mikono yake, anayetamani uwepo wako karibu yake, mwenye hulka ya umama bora hasa anapokuwa karibu na watoto, acha kupoteza muda, weka ndan haraka sana. Mwanamke unapopata mwanaume anayekupenda, anathamini uwepo wako, ana hulka za kukulinda na kukutetea hata kwa jambo dogo, ana hulka za ubaba hasa kwa watoto anaokutana nao, aisee fanya utaratibu haraka kumpa moyo wako na kumsisitiza akuweke ndani haraka. Na ndani namaanisha ndoa.
 
Mimi hata sijui nakoseaga wapi.
Sipatagi mtu serious kabisa unakuta inafika mahali unaona kabisa hapa tunapotezeana tu muda mana hakuna uelekeo.
Mtu unakuwa unafanya mahusiano serious kumbe mwenzio anakuchora tu hana mpango.
Nawaonea wivu wenye ndoa zao Ila tu wale wenye ndoa zenye amani na maelewano.
Huwa najifariji pia kuwa bora kuchelewa ukapata mtu sahihi kuliko kuwahi ukaambulia koroma.
Ila haya maisha hayana formula kabisa.
Anyway Mungu yupo.

I feel (your) pain
 
Mimi nilitaka kuoa tangu mwezi September Ila kutokana na changa moto za kupunguza wafanyakazi ilifanya nisogeze mbele zaidi Ila nashukuru nilipata kibarua kingine na mwakani mwezi wa 6, 2019 natarajia kufunga ndoa. Na hata ikitokea nikatemwa tena kazini siwezi kuahirisha kuoa tena tafanya hata biashara na maisha yataendelea huku nikitafuta kazi taratibu, nacho shukuru mtu wangu anajua biashara za mtaji mdogo na anaweza kusimamia biashara zangu.
Bwana mdogo umenisikitisha sana kwa hiyo mentality yako kwamba 'nikitemwa tena kazini",why unajiwekea mawazo ya kukataliwa tu?.Mimi kama sugar dady nakuamuru ujiombe msamaha kwanza ndo uendelee kuchangia..
 
Mkuu nimesema hivyo kutokana na Hali halisi ya nchi kwa sasa na pia ni Kujiandaa psychologically ikiwa jambo kama hili likitokea mana Sina guarantee ya kufanya kazi mda wote. Kama tulikuwa wafanyakazi 114 na tulipunnguzwa na wakabaki 40 tu na bado wa naendelea kupunguza.
Kwa hiyo kwa sasa kupoteza kazi Sio swala tena la kuniumiza akili Sana.
 
Basi jipange uingie kwenye sekta binafsi,huku hakuna stress kupita kiasi..Biadhara,japo kukimbizana na tra,kilimo na ufugaji,siyo lazma uanze na vikubwa sana,kitu kinachoanza kwa gradual change kinamanufaa mengi zaidi kuliko kuanza na kikubwa kushinda exprience,Unaweza ukaoa na ukamshirikisha mwenzi wako kwenye hizo kazi zote na mkapiga hatua.Never give up easly..
 
Point!
Tanks kwa ushauri mkuu.
 
Ninaempenda kutoka moyoni changamoto za maisha yake tu namuombea, God's timing tutavuka hii stage ya ndoa pia naamini, no pressure calm & collected
Hata kwa ugali na chumvi tutaishi sijampendea pesa zake wala mali zake maana hata mizinga hajawahi pigwa miaka ya karibuni
Miaka 5 toka nimjulie hapa hapa jf mmu amenifundisha kujipenda mimi zaidi, kujiamini,kuheshimu na kujali wengine kuwa na uvumilivu nk He inspires me to work hard not settle for less,to think logically and not with emotions first, after my dad he is my role model
Kabisa hapa nimepatikana na nimetulia mwenyewe, everything flows naturally hatutumii nguvu

Eeh nimeshusha povu kama lote point is, usiweke timeline wakati sahihi ukifika utampata mtu sahihi, endelea kutembea kwenye kusudi lako utampata anaefanana na mahitaji yako
Ps:hakuna perfect relationship, ni utayari wenu kusolve issues zenu, mahusiano ni zaidi ya upendo maturity matters too
Loh! Vipi uyo Shemeji yetu hana mdogo wake wa kike ambaye hajaolewa unifanyie mpango? Hongera mkuu...
 
Mimi binafsi ni kijana wa miaka 27 na mwakani ningependa kuoa ili pia kuwa na watoto mapema tatizo ni huyo wakuoa ni changamoto.

Baadhi ya vijana wakileo tunapitia mambo mengi yanayotufanya tuchelewe kuoa mfano kwangu.

1. Unakutana na mwanamke msomi ana kazi na kipato na mzur pia, mna date kama mwaka badae unapotaka kufanya taratibu za kuoa nayeye kashabadilika dharau kibao, majibu ya ovyo ata usaliti pia. Unaamua kupiga chini.

2. Unapata ambaye Hana kazi wala elimu Ila tatizo ni mdangaji sana ukilinganisha na uhalisia wa kipato chako, anapenda starehe sana unaamua kupiga chini au wewe anaamua kukupiga chini.

3. Anakuja anayekupenda kwa dhati ila unakuta hujampenda kiasi cha kumfanya mke wa maisha yako. Mwingine unatokea na wewe kumpenda ila tatizo hana akili ya maisha, ukimfungulia biashara yyte inakufa hapendi kazi au hawez kiufupi, unaamua kupiga chini.

Inafika mahali nakua na uamuzi wakutafta mwanamke nimzalishe nilee watoto tu kila mtu akae kivyake . hii wenzetu wazungu wanafanya tena kwa makubaliano .

Wengibne unakuta ni kuchelewa kusoma, kuwa katika extended family na unategemewa wewe, uchumi, malengo n.k

Je wewe ni changamoto gani inakufanya kuchelewa kuoa au kuolewa na kua na familia yako mapema.

N:b
Watu wa miaka 27 hadi 40 ambao hawajaoa wala kuolewa wakitoa changamoto zao itapendeza.

Waliooa mtupe pia ushauri kwajili ya kusaidia wengi. Nini kilikufanya uchukue maamuzi ya kuoa au kuolewa na uliyenae?

Asanteni wakuu nawasilisha
Hali ngumu ya kiuchumi
 
Loh! Vipi uyo Shemeji yetu hana mdogo wake wa kike ambaye hajaolewa unifanyie mpango? Hongera mkuu...
Hahah haya mambo ni maamuzi ya mtu sio genetics mkuu, pengine mdogo ake akawa worse
Asante
 
Duuuuuu kumbe wako wengi ivi,bora magu atumbue na huku pia,kama ujaoa au kuolewa unapelekwa mtwara kubangua korosho
 
Back
Top Bottom