Mwaka mpya ulikukuta wapi?

Funge

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
581
165
Kama ulikukuta baa, sehemu kubwa ya maisha yako itatumika baa. Kama umekukuta kwenye jengo la ibada, mwaka huu Mungu ataonekana kwako
......
 
nikiwa road nimesimama huku natembea nikisema happy new year kwa yeyote ninayemuona.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom