F Funge JF-Expert Member Jun 10, 2011 581 165 Jan 1, 2014 #1 Kama ulikukuta baa, sehemu kubwa ya maisha yako itatumika baa. Kama umekukuta kwenye jengo la ibada, mwaka huu Mungu ataonekana kwako ......
Kama ulikukuta baa, sehemu kubwa ya maisha yako itatumika baa. Kama umekukuta kwenye jengo la ibada, mwaka huu Mungu ataonekana kwako ......
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Jan 1, 2014 #2 ulinikutia kwenye kochi nimelala..
chaUkucha JF-Expert Member May 28, 2012 3,382 1,208 Jan 1, 2014 #3 nikiwa road nimesimama huku natembea nikisema happy new year kwa yeyote ninayemuona.
Angel Nylon JF-Expert Member Jul 26, 2011 8,297 16,460 Jan 2, 2014 #10 Daaah, kwa sisi tulokua tumelala inakuaje sasa?
Mugizi1 JF-Expert Member Jun 11, 2011 478 142 Jan 2, 2014 #12 Mi nilikuwa nacheza dushelele na mke wangu kitandani.
R Ritts Senior Member Feb 28, 2012 136 33 Jan 2, 2014 #13 wijei said: Mi nilikuwa nacheza dushelele na mke wangu kitandani. Click to expand... yawezekana mwakamzima mkawa mnacheza tu
wijei said: Mi nilikuwa nacheza dushelele na mke wangu kitandani. Click to expand... yawezekana mwakamzima mkawa mnacheza tu