Mwaka mpya mawaziri wapya hawa hapa, kutangazwa hivi karibuni

scholarsway

Member
Jul 18, 2013
25
2
Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kung’oka limefunga mwaka vibaya,

WALIONG'OKA

  1. Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
  2. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
  3. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.
  4. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk David Mathayo.

WANAOKALIA KUTI KAVU:
Aidha, kufuatia sekeseke hilo, vyanzo mbalimbali vya habari za ndani vimesema kuwa, mawaziri wanaotajwa kukalia kuti kavu katika nafasi zao ni pamoja na

  1. Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe
  2. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Jumanne Kawambwa
  3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Hawa Abdulkadil Ghasia
  4. Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa

WANAOTAJWA KUINGIA
:
Habari zinadai kuwa katika fumuafumua inayotarajiwa kufanyika ndani ya baraza hilo, baadhi ya wabunge na manaibu waziri wanatajwa kuingia kwenye baraza hilo.
  1. Dk. Asha-Rose Mitengeti Migiro (Mb kuteuliwa) kuwa waziri
  2. Mh. Januari Makamba (naibu waziri wa sayansi, teknolojia na elimu ya juu) kuwa waziri kamili,
  3. Mh. Mwiguru Nchemba (Mb) kuwa waziri,
  4. Mh. Peter Serukamba (Mb) kuwa waziri,
  5. Mh. Faustine Ndungulile (Mb) kuwa waziri
  6. Mh. Jenister Joachim Mhagama (Mb) kuwa waziri.
makamba.jpg

Je kutakua na mabadiliko katika maendeleo ya nchi hii 2014 au yale yale.....
 
hahahaha! ni maoni yako mkuu, yaheshimiwe.
siku izi uwaziri deal... unachukulia mkopo( kama Maige akiwa maliasili)
unaanzishia biashara nk... embu acha kuweka watu matumbo joto !
 
wote wale wale.
Mwigulu kuwa waziri ni sawa na kuitumbukiza CCM kwenye moto
JK hawezi kufanya kosa kumchagua Mwigulu labda hao wengine.
Kwa wapinzani itakuwa furaha akichaguliwa itakuwa kete ya kukizika chama
huyu bwana na kashfa za kesi za kutunga,ugaidi,kuwahonga madiwani sidhani kama anastahili
wapo kina deo fulukunjombe, Kangi na Lembeli hao wanafaa.
 
Huyo Mama Migiro namkubali manake kapewa ubunge fasta fasta!!!!! maandalizi ya uwaziri, lakini atachukua nafasi gani? mambo ya nje ingemfaa zaidi lakini kule kuna shem......
 
mjepo k yako.toa hoja na kufafanua watu wa ccm wameshndwa unatetea unataka ukuu wa mkoa nn.kunafolen utasubir sana weye.
 
Hiyo list ya mawaziri wapya wote ni failures hata kabla hawajaanza hiyo kazi ya uwaziriCCM
 
Kuliko kuwateua hao mwaziri wapya ni bora kuajiri mawaziri kutoka nje,tutajikaza tusile kama tuvyojikaza kipindi cha ununuzi wa ndege ya rais ili tutakao wajiri waje waturekebishie taasisi zetu na nchi kwa ujumla tofauti na hapo ni kupiga chama chini once for all,ccm hakuna viongozi bali wapiga deal tu
 
Katika hao wote, litakuwa kosa kubwa kumteua mwigulu nchemba kuwa waziri, huyu hafai hata kidogo, sio mzalendo wa kweli, kwake mtu ambaye ccm sio mtanzania wa kweli! Yupo radhi hata kuua wapinzani kwa mabomu! Pia peter serukamba ni majanga! Rais kikwete awe makini na watu hao, vinginevyo atakuwa ameingiza mizigo zaidi.
 
Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kung’oka limefunga mwaka vibaya,

WALIONG'OKA

  1. Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
  2. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
  3. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.
  4. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk David Mathayo.

WANAOKALIA KUTI KAVU:
Aidha, kufuatia sekeseke hilo, vyanzo mbalimbali vya habari za ndani vimesema kuwa, mawaziri wanaotajwa kukalia kuti kavu katika nafasi zao ni pamoja na

  1. Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe
  2. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Jumanne Kawambwa
  3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Hawa Abdulkadil Ghasia
  4. Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa

WANAOTAJWA KUINGIA
:
Habari zinadai kuwa katika fumuafumua inayotarajiwa kufanyika ndani ya baraza hilo, baadhi ya wabunge na manaibu waziri wanatajwa kuingia kwenye baraza hilo.
  1. Dk. Asha-Rose Mitengeti Migiro (Mb kuteuliwa) kuwa waziri
  2. Mh. Januari Makamba (naibu waziri wa sayansi, teknolojia na elimu ya juu) kuwa waziri kamili,
  3. Mh. Mwiguru Nchemba (Mb) kuwa waziri,
  4. Mh. Peter Serukamba (Mb) kuwa waziri,
  5. Mh. Faustine Ndungulile (Mb) kuwa waziri
  6. Mh. Jenister Joachim Mhagama (Mb) kuwa waziri.
View attachment 129634

Je kutakua na mabadiliko katika maendeleo ya nchi hii 2014 au yale yale.....
Habari hii itakuwa imeletwa na mh. Marope mwenyewe kujipigia debe.
 
Mwiguli Nchemba kuwa rais???kweli serikali haipo makini hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
==> SIONI CHOCHOTE HAPA....giza tu...total darkness...I don't expect anything new....hakuna utendaji hata kwa hao uliowataja....mtu kama January hata MWENYEKITI WA KIJIJI HAFAI.....very low...very low...or below low in leadership...or to be a minister....totally wrong choice.....
 
Matukio ni mengi yaliyoitikisa Tanzania, lakini hili la mawaziri wanne kung'oka limefunga mwaka vibaya,

WALIONG'OKA

  1. Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
  2. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi.
  3. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha.
  4. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi , Dk David Mathayo.

WANAOKALIA KUTI KAVU:
Aidha, kufuatia sekeseke hilo, vyanzo mbalimbali vya habari za ndani vimesema kuwa, mawaziri wanaotajwa kukalia kuti kavu katika nafasi zao ni pamoja na

  1. Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe
  2. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Jumanne Kawambwa
  3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. Hawa Abdulkadil Ghasia
  4. Waziri wa Fedha, Mipango na Uchumi, Dk. William Mgimwa

WANAOTAJWA KUINGIA
:
Habari zinadai kuwa katika fumuafumua inayotarajiwa kufanyika ndani ya baraza hilo, baadhi ya wabunge na manaibu waziri wanatajwa kuingia kwenye baraza hilo.
  1. Dk. Asha-Rose Mitengeti Migiro (Mb kuteuliwa) kuwa waziri
  2. Mh. Januari Makamba (naibu waziri wa sayansi, teknolojia na elimu ya juu) kuwa waziri kamili,
  3. Mh. Mwiguru Nchemba (Mb) kuwa waziri,
  4. Mh. Peter Serukamba (Mb) kuwa waziri,
  5. Mh. Faustine Ndungulile (Mb) kuwa waziri
  6. Mh. Jenister Joachim Mhagama (Mb) kuwa waziri.
View attachment 129634

Je kutakua na mabadiliko katika maendeleo ya nchi hii 2014 au yale yale.....
No Filikunjombe? No Lowassa? no Kangi? YOU MUST BE KIDDING
 
Back
Top Bottom