Mwaka mmoja leo bila ya Deo Filikunjombe

lebara

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
646
836
Leo Oktoba 15 tunafikisha mwaka mmoja tangu kuondokewa na kipenzi chetu Deo Filikunjombe. Sisi watu wa Ludewa tutakukumbuka daima kwa uchapakazi wako.

Tulikupenda Deo Ila mungu hakutaka uendelee kuwa nasi. Pumzika Deo.
 
Mungu akupumzishe Deo mahali penye amani, hukuwahi kuwa mnafiki na hii kwa kweli nitakuombea duwa njema kila nikukumbukapo, uliweka utanzania kwanza uccm baadae.. Ndugu jamaa na marafiki Mungu awape faraja, watoto wa Deo mna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa maisha ya baba enu japo yalikuwa mafupi ila mnauwezo wa kujitambulisho bila haya kuwa ni kizazi cha Deo Filikunjombe.
 
si rahisi unikute namuappreciate mwanaume ila katika list ya wanaume wachache ninaowakubali na deo yupo.
we miss you dearly brother deo rip!
Kumuappreciate mwanaume ktk sekta gani? Siasa, uchumi au kijamii. Wanaume wa Tanzania tu au dunia nzima!!
 
Tunaye deo mwingine ambaye ni Jina tuu, hatunwon kutusemea shida zetu, deo ulpo twakuombea mema kwa mwenyezi mungu, ili upate kuwa Nas ktk maisha yetu wanaludewa
 
Leo Oktoba 15 tunafikisha mwaka mmoja tangu kuondokewa na kipenzi chetu Deo Filikunjombe. Sisi watu wa Ludewa tutakukumbuka daima kwa uchapakazi wako.

Tulikupenda Deo Ila mungu hakutaka uendelee kuwa nasi. Pumzika Deo.
Rip hon Deo F.
By the way yule mjane yuko wapi kwa sasa. Nipo Mlevela/wanging'ombe and I wish kwenda kumpa pole.
 
Rip Deo .
Mbunge wa ludewa kashindwa kuvaa viatu vyako hata hajulikani.
 
Upumzike kwa amani mwana mwema wa Tanganyika. ulikiwa tunu kwa mama Tanganyika. deeply missed
 
Back
Top Bottom