Mwaka huu siwaachi Voda na Tigo lazima tufikishane Mahakamani. Wanataka kumuua mke wangu

Pamoja na chai

My Wife wako kalia nini?

Kifanyio si chako?

Yeye si anacho chake akitaka avute x wake akachakatwe tu

Maisha sio magumu kihivyo


Achana na kushtaki makampuni ya simu Mwambie na yeye akatumie kifanyio chake kwa x yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitandao gan iyo iliyofanya ivo? Navunja line zao sasahivi nabaki na halotel tu. kama hao Voda wamelalamikiwa cku nyingi sana sema Undezi wa watanzania ndo mana hadi leo wapi.Ingekua kma kule Uingereza wananchi wangegoma kutumia huo mtandan hadi wangefunga biashara wao wenyewe
 
Haya malamikoya taarifa za wateja kutolewa kama 'zawadi' yamekuwa mengi.
Ukipga tu siku customer support ya Voda, anayekuhudumia anaanika taarifa zako hadharani bila hata kukuomba password.
Haya makampuni yameshindwa kuthibiti watoa huduma, vijana wanafanya yao watakavyo.
 
Back
Top Bottom