Mwaka huu siwaachi Voda na Tigo lazima tufikishane Mahakamani. Wanataka kumuua mke wangu

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Vodacom na Tigo ninaenda fungua kesi ya kutaka kumuua mke wangu. Haya makampuni yenu naona yameshindwa kufanya kazi mnayotakiwa kufanya.

Last two weeks niliingia kwenye mgogoro kidogo na mamsap tupo likizo toka tarehe 20/12/19.

Nikamwambia sababu tupo likizo na tupo free sasa ratiba ya kutenda ndoa nayo iimarishwe angalau mara nne mpaka sita kwa siku yaani awe tayari muda wowote.

Tumefanya mara tatu siku ya kwanza ya pili akadai amechoka nikamuuliza nimnunulie dawa gani ya ku boost, hajui ale anywe nini. Nilijitahidi mbembeleza sana week nzima akimaliza game half time analala utadhani amekufa.kumwamsha tena inakuwa issue.

Kipindi cha nyuma ilikuwa usiku kabla ya kulala tunapiga show/game moja hapo akilala ni kama amekunywa madawa ya kulevya.

Asubuhi nitabembeleza show nyingine utadhani ndio siku ya kwanza ya kumchakata napewa lakini kwa malalamiko kweli kuwa akienda job anasinzia sana.

Last week nikaamua nikatafute gume gume langu moja la kitambo toka miaka ya 1990s hili pamoja na kuwa limeolewa hatukuwahi achana hasa kwa dharura kama hizi tukapiga game kama fainali.

Style zote kama za mkwezi,pangaboi,kitambaa cheupe/chungulia,mwana ukome,kijungu mwiko n.k mpaka tunaagana saa kila mtu amemwelewa mwenzie.

Nikarudi home nikaomba game hata ya kirafiki nikanyimwa, sikutaka kelele kesho yake tena nikalitafuta gume gume langu tukaenda sehemu tukacheza fainali tena.

Nliporudi home sikuomba game kesho yake sikuomba, week ikakata. Akawa sasa naye akiomba namwambia nimechoka.

KILICHOTOKEA SASA.
sababu anavijicent akaenda honga Tigo na Voda wampatie mawasiliano yangu akakuta namba ambayo imepigiwa na kupiga several times ni ya bidada akaomba texts akapewa mkeka wote.

Yule bidada alijisahau siku fulani akatuma texts za kawaida akishukuru na kudai K yake imeumuka nimeitwanga kwa hasira ila akasema ndo ana-enjoy mapigo ya kibaharia ya kaka jambazi.

Jana wife kaleta ile mikeka kaiweka kitandani, nimerudi toka kwa gume gume langu kucheck kitandani nikaona mikeka nikawaza wife kaanza lini kubet. Nikasema anyway siku hizi ujasiriamali. Kumfuata sebuleni namkuta macho mekundu yameumuka kama kavuta ndumu. Namuuliza kulikoni?ndo ananionesha ile mikeka kitandani.

Nliishiwa nguvu, toka jana amegoma kula na kunywa analia tu anasema ni bora afe tu. Nami nimeshindwa kula kabisa. Wife hana amani hana furaha.

Haya yote ni sababu ya mitandao ya Voda na Tigo. Lengo langu ni kuwashtaki maana wanataka vuruga ndoa yangu. Kwanini watoe siri za wateja?

Wadau naombeni msiangalie kosa langu, angalieni kosa lao kubwa walilonitendea wamenikosea mimi na mamsap wangu.

1.Je ,akifa si wao wamemuua?

2.Je, akiamua kuachana nami hawajavunja ndoa yangu?

3.Je, leo wamenifanyia mimi unadhani wewe upo salama?
 
Write your reply...Kuna shda gani kwa kina mama wa home?mbona wanachoka sna.kuna mmoja nimekutanaye kwa dr amekuja kuchukua dawa ya kuongeza hamu ya mapenz anadai ndoa yake iko matatani kisa yy hajisikii kufanya mapnzi
 
Mkuu...nitajie hiyo dawa hata inbox please nimnunulie....nataka awe na nyege mpaka awe ananing"ang'ania miguuni anataka game.

Write your reply...Kuna shda gani kwa kina mama wa home?mbona wanachoka sna.kuna mmoja nimekutanaye kwa dr amekuja kuchukua dawa ya kuongeza hamu ya mapenz anadai ndoa yake iko matatani kisa yy hajisikii kufanya mapnzi
 
Back
Top Bottom