Mwaka huu nimeamua kurudi shule, ushauri wenu ni muhimu

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
3,289
2,000
Busines in education (out). Utakuwa mwalimu,mkugunzi, mfanyabiashara .
Kozi ya art ambayo angalau huwa naiona ina akili kidogo kuliko history,kisw nk.
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
3,289
2,000
Mkuu upo humble sana.Mwaka mpya ni wakujiwekea malengo
Elimu ni ya muhimu sana hasa kama unajiweza na humtegemei mtu.
Ukianza chuo uni inbox nikutumie desa za education (softcopy).
Fani ya ualimu ni nziri sana kwa mtu anaesoma bila stress.
Kozi nyingine ni ya child hood development. Hii kozi unaweza jiajiri maana watoto ni wengi sana mtaani na wanataka uangalizi.
Fanya analysis ya kutosha kabla hujachagua cha kusoma.
Jaribu kuongea na waajiri wa pravate sector waku direct huko kwenye mataasis yao wanataka nini?
Kingine competency.
Hakikisha unakuwa competent kweli kweli unaweza pata ajira ukiwa mwaka wa pili wakati wengine wanazunguka na vibahasha.
Training practice zako uchague shule zitakazokupa connection, usiende shule za kata wale sio waajiri. Chagua taasisi binafsi na aunze kujiuza mapema sana don't waste.
Kingine wakufunzi wako uwe karibu nao sana, nimeshuhudia jamaa zangu wskipata connection/kazi kupitia wakufunzi. Huo ndio ushauri wangu kwako.
 
Malimi Jr

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,019

Mkuu kwa unyenyekevu sana nakushukuru sana ushauri wako.

Mungu akituwezesha tukaendelea kuwa hai, nikianza nitaku-pm mkuu.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom