Hoja ya msingi hii, tume na ccm wapi na wapi wakati kuna siku za watu kuchukua form.Hiyo hiwezekani màana wagombea wanatakiwa wachukue from na kuzirejesha zikiwa zimejazwaikamilifu ndipo wateuliwe na tume
Hoja ya msingi hii, tume na ccm wapi na wapi wakati kuna siku za watu kuchukua form.Hiyo hiwezekani màana wagombea wanatakiwa wachukue from na kuzirejesha zikiwa zimejazwaikamilifu ndipo wateuliwe na tume
Kama mgombea huyo alitumia njia ya rushwa kupata ushindi huo, unafikiri wakati wa uchaguzi mkuu chama kitakuwa katika hali nzuri ya kumuuza kwa wananchi jimboni?
Maana chama hakitakuwa tayari kutoka hadharani na kumnadi mgombea ambaye si muadilifu, mtoa rushwa na mla rushwa. Sifa kuu ya kiongozi anayetokana na CCM ni lazima achukie rushwa na aoneshe kuwa anaichukia kwa vitendo, kwa maana rushwa ni adui wa haki.
Kiongozi anayetoa na kupokea rushwa hawezi kuongoza kwa haki!
Hivi unadhani alichoandika mtoa mada kinawezekana? Chama lazima kimtaarifu mgombea wake mapema ili aweze kwenda nec kuchukua fomu kwahiyo wagombea watajua mapema kama wamekatwa ama la, ila tume kutoa majina siku ya mwisho lengo lao kuwakata baadhi ya wagombea kwa kisingizio wamekosea kujaza fomuWazee wa kusubiri makombo wanatamani kulia!!! Tuliwaambia hawa jamaa wanawezaje kuchukua nchi wakati hata wagombea hawana????
Queen Esther
Pia lazima chama kimtaarifu mgombea wake mapema ili aweze kwenda necMada hii imejaa uongo mwingi sana pamoja na kusema Waziri mkuu alimuhakikishia Shehe Majini kupitishwa na Kamati kui!
Mtoa mada kachanganya hapa kilichopo NEC watatoa majina siku ya mwisho ili kuengua wagombea kwa kisingizio wamejaza fomu vibaya, na wakiwatoa siku ya mwisho ndio picha limeishaHoja ya msingi hii, tume na ccm wapi na wapi wakati kuna siku za watu kuchukua form.
Ni dhahiri kuwa hufahamu jambo. Ni vizuri ukasiliza, utapata kufuhamuYaan kwa haya maneno unajiongopea mwenyew
Nahisi unaweza sana. Wewe nenda tu ukawe mwanakamati tu.Mimi nikakae kwenye kamati za wahuni?
Nahisi unaweza sana. Wewe nenda tu ukawe mwanakamati tu.
WATAJUANA WENYEWE HAYATUHUSU SANA WAPINZANIMwaka huu kama umegombea kwenye kura za maoni, ukashinda halafu kamati kuu au wenye chama wakakata jina lako huna mbadala kama iliyokuwepo siku za nyuma, kwamba utakimbilia upinzani ugombee.
Kama mnavyosikia, alisema Polepole na jana pia amesema Waziri Mkuu kuwa kura za maoni hazikua na maana yoyote, maamuzi yote yako kamati kuu, wao ndio watarudisha jina la Mgombea hata kama ukiwa wa mwisho na kura 0 bado unaweza kurudishwa kua mgombea. Na akamhakikishia shehe majini kua atakua mgombea kule Handeni.
Kinachofanyika mwaka huu, kamati kuu ya CCM itapeleka majina ya Wagombea wa majimbo yote Tume ya Uchaguzi kimia kimia. Ikishafika siku ya mwisho ya kurudisha form ya kuomba kuteuliwa na Tume kwa vyama vya siasa basi Tume itatangaza majina ya wagombea wote hivyo kama ulikatwa unakua huna nafasi ya kuhamia chama kingine kwa sababu muda unakua umeshapita.
CCM wanahofia kua wakitoa majina mapema wale ambao hawatakubaliana na maamuzi ya kamati kuu ya chama au maamuzi ya wenye chama basi wanaweza kukimbilia upinzani na hatimae wakapata nafasi ya kugombea na kushinda uchaguzi.
Hivyo kama uligombea kwenye kura za maoni ukawa mshindi kwa kura nyingi, wenye chama wasipokutaka huna mahala pa kukimbilia. Hivyo wagombea wote jiandaeni na matokeo yoyote yatakayokuja.
Taifa la wajinga that's why manSiasa za Afrika ni takataka tu.
Inaogopa sana ndiyo maana inatumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawalaUmeanza vizuri una Kuja Kuvurunda mwisho
Eti ccm inaogopa iogope nini
Ccm inaweza ogopa kivuli chake kweli