Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,820
Haiwezi kwa sababu kila kitu inakimilikiUmeanza vizuri una Kuja Kuvurunda mwisho
Eti ccm inaogopa iogope nini
Ccm inaweza ogopa kivuli chake kweli

Kama mgombea huyo alitumia njia ya rushwa kupata ushindi huo, unafikiri wakati wa uchaguzi mkuu chama kitakuwa katika hali nzuri ya kumuuza kwa wananchi jimboni? Maana chama hakitakuwa tayari kutoka hadharani na kumnadi mgombea ambaye si muadilifu, mtoa rushwa na mla rushwa. Sifa kuu ya kiongozi anayetokana na CCM ni lazima achukie rushwa na aoneshe kuwa anaichukia kwa vitendo, kwa maana rushwa ni adui wa haki. Kiongozi anayetoa na kupokea rushwa hawezi kuongoza kwa haki!
CCM ni Muungano wa Katiba, kanuni, sheria na taratibu na miongozo mbalimbali, bila kusahau wanachama na viongozi. Hivyo basi kwa kuwa wanachama na viongozi ni watu na kwamba tabia ya kupenda na ya kuchukia rushwa ni tabia za watu. Na kwa sababu hiyo, CCM imetamka wazi kuwa sifa ya kiongozi anayetokana na CCM, ni lazima awe mtu ambaye tabia yake ni ya kuchukia rushwa.Huko ccm nani ambae hatoi rushwa?!
Mla na mtoa rushwa anatakiwa kufikishwa mahakamani, na sio kwenye hizo kamati za siasa chafu. Huko kwenye hizi kamati ni kichaka kingine cha kulia rushwa, na kupitisha watu kwa maslahi binafsi ya kikundi fulani huko ccm.
Wazee wa kusubiri makombo wanatamani kulia!!! Tuliwaambia hawa jamaa wanawezaje kuchukua nchi wakati hata wagombea hawana????Mwaka huu kama umegombea kwenye kura za maoni, ukashinda halafu kamati kuu au wenye chama wakakata jina lako huna mbadala kama iliyokuwepo siku za nyuma, kwamba utakimbilia upinzani ugombee.
Kama mnavyosikia, alisema Polepole na jana pia amesema Waziri Mkuu kuwa kura za maoni hazikua na maana yoyote, maamuzi yote yako kamati kuu, wao ndio watarudisha jina la Mgombea hata kama ukiwa wa mwisho na kura 0 bado unaweza kurudishwa kua mgombea. Na akamhakikishia shehe majini kua atakua mgombea kule Handeni.
Kinachofanyika mwaka huu, kamati kuu ya CCM itapeleka majina ya Wagombea wa majimbo yote Tume ya Uchaguzi kimia kimia. Ikishafika siku ya mwisho ya kurudisha form ya kuomba kuteuliwa na Tume kwa vyama vya siasa basi Tume itatangaza majina ya wagombea wote hivyo kama ulikatwa unakua huna nafasi ya kuhamia chama kingine kwa sababu muda unakua umeshapita.
CCM wanahofia kua wakitoa majina mapema wale ambao hawatakubaliana na maamuzi ya kamati kuu ya chama au maamuzi ya wenye chama basi wanaweza kukimbilia upinzani na hatimae wakapata nafasi ya kugombea na kushinda uchaguzi.
Hivyo kama uligombea kwenye kura za maoni ukawa mshindi kwa kura nyingi, wenye chama wasipokutaka huna mahala pa kukimbilia. Hivyo wagombea wote jiandaeni na matokeo yoyote yatakayokuja.
Hujui ulichoandika mkuuMwaka huu kama umegombea kwenye kura za maoni, ukashinda halafu kamati kuu au wenye chama wakakata jina lako huna mbadala kama iliyokuwepo siku za nyuma, kwamba utakimbilia upinzani ugombee.
Kama mnavyosikia, alisema Polepole na jana pia amesema Waziri Mkuu kuwa kura za maoni hazikua na maana yoyote, maamuzi yote yako kamati kuu, wao ndio watarudisha jina la Mgombea hata kama ukiwa wa mwisho na kura 0 bado unaweza kurudishwa kua mgombea. Na akamhakikishia shehe majini kua atakua mgombea kule Handeni.
Kinachofanyika mwaka huu, kamati kuu ya CCM itapeleka majina ya Wagombea wa majimbo yote Tume ya Uchaguzi kimia kimia. Ikishafika siku ya mwisho ya kurudisha form ya kuomba kuteuliwa na Tume kwa vyama vya siasa basi Tume itatangaza majina ya wagombea wote hivyo kama ulikatwa unakua huna nafasi ya kuhamia chama kingine kwa sababu muda unakua umeshapita.
CCM wanahofia kua wakitoa majina mapema wale ambao hawatakubaliana na maamuzi ya kamati kuu ya chama au maamuzi ya wenye chama basi wanaweza kukimbilia upinzani na hatimae wakapata nafasi ya kugombea na kushinda uchaguzi.
Hivyo kama uligombea kwenye kura za maoni ukawa mshindi kwa kura nyingi, wenye chama wasipokutaka huna mahala pa kukimbilia. Hivyo wagombea wote jiandaeni na matokeo yoyote yatakayokuja.
What if Kama nina mtu pale NEC akanimegea za chini ya kapeti?
Safi sana hii,kupunguza malaya wa kisiasaMwaka huu kama umegombea kwenye kura za maoni, ukashinda halafu kamati kuu au wenye chama wakakata jina lako huna mbadala kama iliyokuwepo siku za nyuma, kwamba utakimbilia upinzani ugombee.
Kama mnavyosikia, alisema Polepole na jana pia amesema Waziri Mkuu kuwa kura za maoni hazikua na maana yoyote, maamuzi yote yako kamati kuu, wao ndio watarudisha jina la Mgombea hata kama ukiwa wa mwisho na kura 0 bado unaweza kurudishwa kua mgombea. Na akamhakikishia shehe majini kua atakua mgombea kule Handeni.
Kinachofanyika mwaka huu, kamati kuu ya CCM itapeleka majina ya Wagombea wa majimbo yote Tume ya Uchaguzi kimia kimia. Ikishafika siku ya mwisho ya kurudisha form ya kuomba kuteuliwa na Tume kwa vyama vya siasa basi Tume itatangaza majina ya wagombea wote hivyo kama ulikatwa unakua huna nafasi ya kuhamia chama kingine kwa sababu muda unakua umeshapita.
CCM wanahofia kua wakitoa majina mapema wale ambao hawatakubaliana na maamuzi ya kamati kuu ya chama au maamuzi ya wenye chama basi wanaweza kukimbilia upinzani na hatimae wakapata nafasi ya kugombea na kushinda uchaguzi.
Hivyo kama uligombea kwenye kura za maoni ukawa mshindi kwa kura nyingi, wenye chama wasipokutaka huna mahala pa kukimbilia. Hivyo wagombea wote jiandaeni na matokeo yoyote yatakayokuja.
Umeongoza kura za maoni?Si watoe majina kesho tujue mbichi na mbivu, kwa nini wasubiri hadi deadline?
Hiyo ni rahisi Sana..aliyeteuliwa anapewa form same day na kuirejesha.. sidhani kama unahitaji zaidi ya 2hours kujaza form..but huwezi kuhamia chama kipya,ukapewa Kadi,ukateuliwa kugombea,ukachukua form NEC na kujaza same day.. hiyo ikitokea basi tegemea fujo na makundi kwenye chama husika.Hiyo hiwezekani màana wagombea wanatakiwa wachukue from na kuzirejesha zikiwa zimejazwaikamilifu ndipo wateuliwe na tume
wakifanya hivyo ccm nawambia mteenda kutengeneza ya tukose wote kwenye majimbo ushauri wa bure nawapa tu washindi watangazeni tu then tafuta dawa ya mwarobain kuelekea 2025 mkiwa kama chama dola ua chama pinzani ,wenda mawazo yenu ni mazuri kutokana na tuyasikiayo kutoka katika majimbo huko ila si mda muafaka wakufanya hicho kwa sasa vinginevyo mwafa kabisa kabla ya saa mbili hasubui nawambia ccm punguza kujiamini sana mwaka huu hauko vizuri kwenu huo ndo ukweli uzuri tunao yasema haya hatuna vyama but ni wapenzi wa democracyMwaka huu kama umegombea kwenye kura za maoni, ukashinda halafu kamati kuu au wenye chama wakakata jina lako huna mbadala kama iliyokuwepo siku za nyuma, kwamba utakimbilia upinzani ugombee.
Kama mnavyosikia, alisema Polepole na jana pia amesema Waziri Mkuu kuwa kura za maoni hazikua na maana yoyote, maamuzi yote yako kamati kuu, wao ndio watarudisha jina la Mgombea hata kama ukiwa wa mwisho na kura 0 bado unaweza kurudishwa kua mgombea. Na akamhakikishia shehe majini kua atakua mgombea kule Handeni.
Kinachofanyika mwaka huu, kamati kuu ya CCM itapeleka majina ya Wagombea wa majimbo yote Tume ya Uchaguzi kimia kimia. Ikishafika siku ya mwisho ya kurudisha form ya kuomba kuteuliwa na Tume kwa vyama vya siasa basi Tume itatangaza majina ya wagombea wote hivyo kama ulikatwa unakua huna nafasi ya kuhamia chama kingine kwa sababu muda unakua umeshapita.
CCM wanahofia kua wakitoa majina mapema wale ambao hawatakubaliana na maamuzi ya kamati kuu ya chama au maamuzi ya wenye chama basi wanaweza kukimbilia upinzani na hatimae wakapata nafasi ya kugombea na kushinda uchaguzi.
Hivyo kama uligombea kwenye kura za maoni ukawa mshindi kwa kura nyingi, wenye chama wasipokutaka huna mahala pa kukimbilia. Hivyo wagombea wote jiandaeni na matokeo yoyote yatakayokuja.
yupo sahihi mataga hamtaki kusikiaga ukweliUmeanza vizuri una Kuja Kuvurunda mwisho
Eti ccm inaogopa iogope nini
Ccm inaweza ogopa kivuli chake kweli
Wewe umesema. Na bila shaka umehisi tu. Sifikirii kama umewahi kuwa mwana kamati hizo ambazo umezisemea.
Hivi unaujua utaratibu au unaandika kwa kufuata matamanio yako?Kinachofanyika mwaka huu, kamati kuu ya CCM itapeleka majina ya Wagombea wa majimbo yote Tume ya Uchaguzi kimia kimia. Ikishafika siku ya mwisho ya kurudisha form ya kuomba kuteuliwa na Tume kwa vyama vya siasa basi Tume itatangaza majina ya wagombea wote hivyo kama ulikatwa unakua huna nafasi ya kuhamia chama kingine kwa sababu muda unakua umeshapita.
Kama kweli ccm majasiri, iweje mnazuia wapinzani wasifanye mikutano yao ? Enzi ya kikwete mliona ule mziki, maandamano na mikutano, opresheni sangara nk., Magu tumbo moto. Pia ccm wamepora uchaguzi serikali za mitaa mwaka jana. Woga wa nini, kama mnatekeleza ilani?Umeanza vizuri una Kuja Kuvurunda mwisho
Eti ccm inaogopa iogope nini
Ccm inaweza ogopa kivuli chake kweli