Mwaka huu hauishi...

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
1,752
1,311
Kichwa cha habari chajieleza.
Mwaka huu hauishi kudadadeki!!!
Ah,haiwezekani uishe bhana,tuandamane usiishe!
 
Ha ha ha ha!!! Lazima MzunguMndali uandamane maana kuna mambo hujayakamilisha baada ya Mods kukupeleka magereza!!!!!Issue ni kwamba siku ikishapita,kuireplace ni issue!!!!
Ushauru: Tujipange kwa ajili ya 2013 tusipoteze hata sekunde moja!!!
 
Last edited by a moderator:
Zunguka,zunguka *4 wema wa Mungu eeh umenizungukaa zunguka zunguka eeeehh
nimepita milima na mabonde yehova,,,hapa nilipofika wacha nisemeeee hhhh


Kichwa cha habari chajieleza.
Mwaka huu hauishi kudadadeki!!!
Ah,haiwezekani uishe bhana,tuandamane usiishe!
 
Wajameni,huyu MzunguMndali inabidi akamatwe haraka kuwahishwa hospitali!
Ninyi hamuoni hali yake inazidi kuwa mbaya?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom