kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Chrismass ya mwaka huu haikuwa na mkono wa serikali katika maeneo matatu naomba niyataje
1. Hakukuwa na mkesha wa kitaifa wa chrismass
2. Serikali haikutoa mkono wa chrismass
3. Siku ya chrismass umoja wa makanisa ya kikiristo, Roma uandaa misa ya kitaifa ambapo mara nyingi katika Misa hiyo ualikwa kiongoz wa nchi au mwakilishi. Safari hii kimya kimya
Je tukisherekea sikukuu nyingine za kidini serikali itakaa kimya kama tukio la chrismass?