FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Hivu maximum population inayoweza kuwa supported na dunia ni kiasi gani? Mfano kwa population growth tuliyonayo, mwaka 7018 population ya dunia itakuwa imefikia watu wangapi?
Duh hatari.ushawahi kuwa shuhuda?Kwa usagaji na ufiraji unaoendelea mpaka kufikia huo mwaka kunaweza kukawa na nusu ya population iliyopo sasa hivi.
Kwani lazima kushuhudia kujua kinachofanyika? Kuona video inatoshaDuh hatari.ushawahi kuwa shuhuda?
SawaKwani lazima kushuhudia kujua kinachofanyika? Kuona video inatosha
It seems nawe ni mhanga hivi..Kwani lazima kushuhudia kujua kinachofanyika? Kuona video inatosha
At least ungekuja na idadi ya watu waliopo duniani na growth rate ya population. Kisha uulize hilo swali ningehisi umekuwa miongoni mwa great thinkers. Hilo swali kweli?Hivu maximum population inayoweza kuwa supported na dunia ni kiasi gani? Mfano kwa population growth tuliyonayo, mwaka 7018 population ya dunia itakuwa imefikia watu wangapi?
Mkuu wewe una fafaaaaa in the voice of GwajimaDaah swali lako watafute actuarial scientist mkuu maana wengine tuna f
Zamani watu walikuwa wanazaa hadi watoto 12 kwa mwanamke mmoja, siku hizi wanawake wanazaa watoto wawili tu.., ila population ya dunia ndio imekua toka 2bn to 7bn ndani ya decades chache tu..Itakuwa imepungua sana kwa magonjwa,vita vya wenyewe kwa wenyewe,ajali,kujiua na kadhalika.
kwa huo mwaka dunia itakuwa ina idadi ndogo ya watu kwani hata umri nao wa kuisì utakuwa mdogo na bado watu wataogopa kuzaana sana sababu ya ugumu wa maisha utakao kuwepo.