Mwaka 7018, population ya dunia itakuwa imefika trillion ngapi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
35,847
40,435
Hivu maximum population inayoweza kuwa supported na dunia ni kiasi gani? Mfano kwa population growth tuliyonayo, mwaka 7018 population ya dunia itakuwa imefikia watu wangapi?
 
why worry,!!!kwanza sidhani kama kuna popote kutakuwa na kumbukumbu kuwa aliwahi kuishi kiumbe kama wewe duniani,pili hata kama utakuwa mbinguni au motoni utakuwa umeshatolewa kupisha fresh stock!....so..why worry?!
 
Hivu maximum population inayoweza kuwa supported na dunia ni kiasi gani? Mfano kwa population growth tuliyonayo, mwaka 7018 population ya dunia itakuwa imefikia watu wangapi?
At least ungekuja na idadi ya watu waliopo duniani na growth rate ya population. Kisha uulize hilo swali ningehisi umekuwa miongoni mwa great thinkers. Hilo swali kweli?
 
mkuu ijpokuwa watu wanazliwa kila siku ..pia watu nao wanakufa kila siku nakila SAA..na jinsi wale Jamaa washirika wa shetani jinsi walivyokuwa na speed yakuuweka ulimwengu kwnye kiganja sidhani kama wataruhusu hilo jambo litokee maaana watu wakiwa wengi kiasi hcho itakuwa ningumu mnoo kuwa control ..so naikitokea watu kufikia kiwango hcho basi wajiandae kupambana na magonjwa makubwa na yakutisha kuliko magonjwa ya UKIMWI.KANSA .NA EBOLA..nawaonea huruma sana watakaoishi ktk wakati hup
 
Itakuwa imepungua sana kwa magonjwa,vita vya wenyewe kwa wenyewe,ajali,kujiua na kadhalika.
kwa huo mwaka dunia itakuwa ina idadi ndogo ya watu kwani hata umri nao wa kuisì utakuwa mdogo na bado watu wataogopa kuzaana sana sababu ya ugumu wa maisha utakao kuwepo.
 
Hapatakuwa na mtu yesu atakuwa alisharudi na kutwaa walio wake
 
Hili swali niulizeni baada ya week mbili.
Nina mpango wa ku time travel hadi 7018 ntakuja kuwapa mrejesho after 2 weeks nikirudi
 
Itakuwa imepungua sana kwa magonjwa,vita vya wenyewe kwa wenyewe,ajali,kujiua na kadhalika.
kwa huo mwaka dunia itakuwa ina idadi ndogo ya watu kwani hata umri nao wa kuisì utakuwa mdogo na bado watu wataogopa kuzaana sana sababu ya ugumu wa maisha utakao kuwepo.
Zamani watu walikuwa wanazaa hadi watoto 12 kwa mwanamke mmoja, siku hizi wanawake wanazaa watoto wawili tu.., ila population ya dunia ndio imekua toka 2bn to 7bn ndani ya decades chache tu..
 
Nadhani hapatakuwa na mahali pa kulima wala kujenga kutokana na ongezeko la watu na kitachofuatia ni njaa, umaskini na maafa mengine ya uwingi wa watu na hatimaye watu wanaweza kupungua kwa majanga hayo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom