Mwaka 7018, population ya dunia itakuwa imefika trillion ngapi?

Hivu maximum population inayoweza kuwa supported na dunia ni kiasi gani? Mfano kwa population growth tuliyonayo, mwaka 7018 population ya dunia itakuwa imefikia watu wangapi?
Idadi ya watu watapungua sana kulinganisha na idadi iliyopo sasa.
1.mapenzi ya jinsia moja yataenea dunia nzima,
2.Nguvu za kiume zitaisha kabisa,(uwezo wa kusimamisha dushe itakuwa sifuri),
3.magonjwa yataongezeka zaidi
4.Nusu au zaidi ya nchi zote duniani zitakuwa na nyuklia,vita vitakuwa vinapiganwa kwa nyuklia
 
Itakuwa imepungua sana kwa magonjwa,vita vya wenyewe kwa wenyewe,ajali,kujiua na kadhalika.
kwa huo mwaka dunia itakuwa ina idadi ndogo ya watu kwani hata umri nao wa kuisì utakuwa mdogo na bado watu wataogopa kuzaana sana sababu ya ugumu wa maisha utakao kuwepo.

Ugumu wa maisha na magonjwa ndio inafanya watu kuzaa sana sio kuogopa kuzaa. Angalia africa maisha ni magumu, magonjwa kibao na dawa zinapatikana kwa shida lakini watu wanazaliana kama panya. Ulaya maisha ni mazuri hakuna vita, hakuna magonjwa ya hovyo hovyo ila watu hawazai kama africa.
 
Nadhani ubora wa maisha unaendana sambamba na elimu bora ya uzazi wa mpango..; by the way, JF itakuwepo mwaka 7018?, watu wa wakati huo wataweza kufanya referrence na kujua ni nini sisi ancient humans tulikuwa tunatabiri kwa mwaka huo..
 
Hivu maximum population inayoweza kuwa supported na dunia ni kiasi gani? Mfano kwa population growth tuliyonayo, mwaka 7018 population ya dunia itakuwa imefikia watu wangapi?
7018 Sijui watakuwa watu wangapi........2050 tunatarajia kuwa na watu 9.8 bilioni na mwaka 2100 inatarajiwa kutakuwa na watu 11.2 bilioni
 
7018 Sijui watakuwa watu wangapi........2050 tunatarajia kuwa na watu 9.8 bilioni na mwaka 2100 inatarajiwa kutakuwa na watu 11.2 bilioni
Lakini Tanzania bado kuna maeneo ya wazi mengi sana, tatizo tumelundikana mijini basi tunajiona weengi..
 
Ni kitu kinaitwa natural death.... pale tutakapofikia kuwa wengi kiasi kwamba uzalishaji wa chakula hauwezi kutosheleza hapo ni starvation ndio itakayohamua. Ndio maana utaona kuna hadi kuku wa wiki 4, nyama za kopo ili kuweza kutosheleza mahitaji..
Sasa kikawaida upitikanaji wa chakula ukiwa kwa kiwasngo kikubwa basi na kuzaliana kunaongezeka.. na kinyume chake... pia utaona inshu ya kupunguza kuzaani ni ili kuepusha natural death, kwa wanyama hiyo ni kawaida ila kwa binadamu inasikitisha sana kuona unapoteza ndugu kwa kisababishi cha njaa....
 
Back
Top Bottom