Mwaka 2025: Selemani Jaffo ni mgombea wa CCM urais(?)

Kama sio January makamba basi ni Jafo suleiman maana ndio wanatokea ukanda wa pwani unaotoa marais wengi kama wakina mwinyi, mkapa, Kikwete

Japo pia siwezi kumsahau na Shamshi vuai Naodha japo safari hii kaachwa kwenye baraza la mawaziri sijui tatizo nini?!
Mwigulu Nchemba Madelu!
 
Non of them! Watu wanapredict next president 2025. As if 2020 hakuna uchaguzi. Hii ndio tunasema ni stereotype mbaya kabisa katika taifa!
 
Back
Top Bottom