Mwislam mwenzetu (kina shehe khalifa)the next president is HUSSEIN MWINYI! mark my words
Mtoa mada kama kajitekenya mwenyewe hvSasa umeleta uzi wa nn kama unashindwa kumtaja siungekaa tu kimya
Siyo kutabiri ni kupata fursa ya kujua yajayo, pasico alisema lazima ajaye ni KATTO, watu waka puuza, sasa ajaye anajulikanamtoa mada kama una kipaji cha utabiri jitangaze upige pesa kama akina sheikh yahya
Kwani kugombea kwa JS kunazuia UKAWA kugombea?Hapo UKAWA HAWAGOMBEI? Usitake mzee wetu akananii
Mbona Chadema washamchangua Lowassa kugombea 2020.Mpumbavu tu ndiye anayeweza kuwaza chaguz 2025.hii inchi inamaajabu mengi sn.Only tz
Unacheeka kwaJafo suileiman
Ni pale ambapo huwa namtafuta mchora ramani wa CCM na kugundua kuwa watakuwa wana nguvu ya ziada ,
Kwa kuwa ni mapema mno na ndo Mheshimiwa ana mwaka mmoja madarakani, ni kawaida ya CCM kujitokeza watu wa kugombea nafasi za juu na maandaliz huanza mapema mno,
Tetesi za utaratibu unaosukwa mpaka najiuliza sana kuwa nani hasa uwa anawashauri katika masuala haya, maana mnapoanza kuhisi wameishiwa wanakuwa na mtu mpya ambaye ni wa kushangaza ambaye hakutegemewa,
Nilitamani nitaje jina lake lakin naona nisije nikasababisha akaanza kuchafuliwa na timu mbali mbali zinazosaka madaraka, nimeainisha kifupi tu cha jina lake , kuwa ndiye atakaye shika wadhifa wa juu baada ya uongozi wa Mh tuliyenaye, kutokana na habari za karibu nilizonazo zimeonesha kuwa mpango wa kumuandaa kijana Huyo kujiandaa kisaikolojia kwa awamu ijayo,
Miongozo na mienendo aliyopewa kijana huyo ni siri ambazo hapaswi kuzijua mwingine,
Sifa zake zilizoina haraka haraka
1. Ni msomi
2. Mtaratibu mwenye maamuzi sahihi
3. Afya njema na mungu tunaomba amlinde sana
4. Ni dini Fulani ambayo sitaki kuitaja,
6. Ni wa kanda ile ya upande unaoonekana kupata marais wengi kutoka.upande uo,
7. Si msemaji ni mtendaji tu.
8. Ni mtiifu kwa wananchi
Safari imeanza, sasa, asante jopo la wazee 13 kuendelea kutuletea vijana na kuwaandaa
HM nani huyu Hussein Mwinyi?Atakayeweza kupumbaza watu sasa hivi kutoka ccm ni HM tu; wengine wote ccm wajiandae kufanya wizi mkubwa.
Watanzania wamejifunza ubaya wa kuwa na mkuu mkurupukaji, bora tuendelee na wapole wetu maana maendeleo ni safari tutafika tu hata miaka bilioni ijayo.