Mwaka 2025: Selemani Jaffo ni mgombea wa CCM urais(?)

Itategemeana na Upepo wa Nchi kwamba wananchi wanamtaka rais wa namna gani kwa muda huo!. Ila nahisi wanaweza kumuteua mgombea kutoka Kanda ya Kaskazini, ya Kati au kanda ya Mashariki kwa mara ya pili!!
 
Mkuu anayeamini katika kukoroma kama anawafokea wachunga ng'ombe hatumtaki ajitokeze tena katika msamiati na hansadu za himaya hii.

Tunamuomba Karima atujazi na afya 2020, tubadili mboga maana sioni dira ya taifa ikielekea kwenye mafanikio. Halafu nchi imekuwa ya siasa.

Poleni wana wa Bukoba kina Rwechungura, Muganyizi, Kyaruzi, Costantnus ByaMungu, na wengine wote kwa kudhulumiwa pole na misaada ya wanaubinadamu waliojitolea kuwanusuru.

Ccm wanasema bado wanataka kuwanunua vijana wa Arusha kwani tetemeko hawakulituma kwenu lilikuja hata wao halikuwaaga. Poleni kwa Kusoma Namba.

[HASHTAG]#Tukutane[/HASHTAG] 2020 kwenye Sanduku la Kupiga Kura.
 
"Hosea SM Jr"

Wala siyo
 
Jikiteni kufanya kazi ili kuleta maendeleo binafsi na nchi pia, tumsaidie raisi kwa kufanya kazi, tuache majungu na uvivu na tamaa za kipumbavu, ni uwendawazimu ya hali ya juu kuanza kupanga safu za kipuuzi sasahivi, Kwanza kwa taarifa yako Mh Magufuli hawezi kukubali upuuzi huo, mtu ambaye ameingia serikalini kujijenga kisiasa binafai na si kufanya kazi ya kumsaidia raisi huyo hana nafasi ni wa kutumbua tu,
We ndugu yangu, wakati wa kampen, hakuna Rais au mwenyekiti amewahi kufanikiwa kuweka mtu wake. Inatajwa kuanzia awamu ya pili, tatu na ya nne mwaka jana walishindwa kuweka warithi wao. Sababu kubwa ni kuwa makundi hujipanga na watu wao. Kama utakumbuka mwaka jana kilichotokea ndicho kinachotoa ugumu, na mwenyekiti ukileta ujuaji watu wanakususia na chama kinakufia mikononi mwako. Na kumbuka wajumbe wanakua hawana cha kupoteza. Ni kipindi kigumu sana kwa Mwenyekiti wa CCM ambapo nguvu kubwa ya makundi huwa zinavuruga hali ya hewa. Haiwi rahisi kama unavyofikiria.
 
Jpm akiamua kubadili katiba kwamba aendelee hadi miaka 15 huyo Js wako atakufa kwa pressure tu.
 
hakuna anayejua nani atakuwa rais bado tuna miaka 7 kabla ya uchaguzi lolote linaweza kutokea ila ccm ina hazina kubwa ya wagombea kuliko chama kingine chochote
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom