Mwaka 2021 ulikuwa ni Mwaka wa Majanga kwa Tanzania. Mwaka 2022 uwe Mwaka wa Mabadiliko, Watanzania tubadilike! Happy New Year!

, hivyo sasa ni jukumu letu sisi Watanzania katika umoja wetu, kwenda na mabadiliko chanya yoyote, hivyo mwaka huu wa 2022, uwe ni mwaka wa mabadiliko, Watanzania tubadilike.

Happy New Year.
Paskali
Kuna badiliko moja naliandaa kulipendekeza kuliandaa tubadilike, likikamilika nalileta humu tulijadili.
P
 
Back
Top Bottom