Mna uhakika Lissu atafanya kwa asilimia zote!?Mgombea wa Chadema I hope atakuwa lissu huyo dhalimu, dikteta, nduli na MUUAJI hafai kabisa na ndiyo sababu hata ndani ya ccm wengi hawamkubali.
Upinzani moja iyoo..au niende nawwKwa hiyo wewe 2020 unaenda na Nani?
Asa tufiche ya Nini magu uongozi anaujua.Upinzani moja iyoo..au niende naww
Basi ngoja nigombee mwenyewe kupitia UDPAsa tufiche ya Nini magu uongozi anaujua.
Nanukuu wimbo wa Harmonize.
Mimi upande wangu nitaenda na atakayekuwa anafaa...kwa kusikiliza sera zake.
Chadema wakifanya ujinga Kama wa 2015 lazima washindwe tu.
Basi ngoja nigombee mwenyewe kupitia UDP
Utaenda namm??
Mna uhakika Lissu atafanya kwa asilimia zote!?
Naye pia atakuwa na mapungufu yake..
Tena Chadema sijui wanatumiaga akili gani ..atatokea Mtu atahamia na watamsimamisha Kama mgombea urais..Hapo ndipo CCM wanawazidi kete.
Naanzaje kukusahau kichocheo wangu??
Ukipata usinisahau
MMAWIA UMETISHA NA MAWE YA GIZANI "kwanza karibu sana JF.."
Naanzaje kukusahau kichocheo wangu??
Na wanaweza wakarudia Tena ule mchezoSuala si kufanya kwa asilimia zote bali ni kuheshimu Watanzania, katiba, mahakama, Bunge na taratibu zote za kuendesha Serikali kwa maslahi ya Tanzania na Watanzania siyo kama huu uhuni, dharau na udhalimu uliokithiri nchi hii kwenye awamu hii ya DHALIMU. Chadema nao WAKIBORONGA wanapigwa kibuti na chama kingine kushika hatamu. Ndiyo raha ya DEMOKRASIA ambayo imesaidia sana kuwa CHACHU ya maendeleo kwenye nchi za wenzetu siyo chama kinafanya uhuni, dharau, ujambazi ili tu kuendelea kung’ang’ania kuwepo madarakani. Miaka 60 ya uhuru Tanzania ina utajiri wa hali ya juu wa rasilimali na ardhi kubwa yenye rutuba lakini HATUNA CHOCHOTE CHA KUJIVUNIA. Nchi yetu bado ni HOHEHAHE TU!
Lile la kumkaribisha fisadi Lowassa Chadema lilikuwa ni KOSA KUBWA sana I am glad that I rejected that decision from day one and I was right 110%
Ewaaaa mambo ndo hayo sasa
Tutakuwa wote ikulu
Na wanaweza wakarudia Tena ule mchezo
Ulireject vipi brother...kwa kumpigia jpm au?
Ulimpigia Nani!??Kosa lile haliwezi kurudiwa tena hilo nakuhakikishia likirudiwa tena ndiyo itakuwa kifo cha Chadema. Mie nimpigie kura dhalimu St Anne?
Ila usije nipiga magumi ikuluEwaaaa mambo ndo hayo sasa
Hahah magumi ni ya JPM..mimi hapana ..utakua malikiaIla usije nipiga magumi ikulu
Umeona eeeh???Kumbe kampeni zishaanza!!
Me too, sioni mbadala wake kwa sasa.
Maana nyie wasukuma hamchelewi kuzibua mtu.Hahah magumi ni ya JPM..mimi hapana ..utakua malikia