Micro IQ
Member
- May 13, 2018
- 73
- 122
Licha ya mapungufu yake machache na hii ni iko kwa wanadamu wote waliotoka kwenye Tumbo la mwanamke,
Hakuna aliye kamilifu kwa asilimia 100,Mapungufu yake machache hayawezi kufanya nisione Mema anayofanya,
Mwaka 2020 Naenda na JPM, Jiwe shupavu, Chuma asiyeweza kuyumbishwa,Kwa mafanikio ya Nchi yangu, na kwa Future ya kizazi changu Nitaenda na JPM 2020,
Go JPM mimi kama mtanzania na mwananchi unayeniongoza niko Pamoja nawe.
Nani yuko pamoja nami anasema ataenda na JPM 2020? .