Mwaka 2020 Afrika haitamsahau Rais Magufuli kwa heshima ya kugharamikia Uchaguzi Mkuu wa 2020 kwa fedha za ndani

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Wakati zimebaki takribani siku 12 kuuaga mwaka 2020 waafrika na hususan watanzania wanayo mengi ya kujivuania kutokana na uongozi wa Rais John Magufuli wa miaka mitano iliyopita.

Japokuwa makala hii haitagusia mafanikio yote na makubwa ya Rais Magufuli kwa miaka mitano iliyopita itajikita zaidi kwenye mafanikio ya uchaguzi mkuu na hasa kipengele cha gharama za Uchaguzi wa mwaka 2020.

Tanzania ilifanya uchaguzi wake mkuu Octoba 28 mwaka huu. Uchaguzi huu uliofanyika kwa haki, amani na usalama uliacha funzo katika Afrika na Tanzania kwa ujumla.

Funzo kubwa katika uchaguzi huu ambalo liliwaacha mataifa ya Afrika vinywa wazi ni kitendo cha Tanzania chini ya utawala wa Rais Magufuli kutumia fedha zake za ndani kugharamia uchaguzi.

Ilikuwa mara ya kwanza kwa Tanzania tangu ipate uhuru miaka 58 iliyopita kutimia fedha zake za ndani zaidi ya bilioni 320 kugharamia uchaguzi mkuu.

Tanzania pia ilikuwa nchi ya kwanza katika bara la Afrika kugharamia uchaguzi wake kwa fedha zake za ndani. Hongera sana Rais Magufuli kwa kuwa taa ya ukombozi barani Afrika.

Tunaweza kujiuliza kitendo cha Rais Magufuli kusimama kidete na kuamua kugharamikia uchaguzi wa ndani kina maana gani kwa mustakabali wa demokrasia ya Afrika.

Katika muktadha mzima wa demokrasia ya Afrika kitendo cha Rais Magufuli kutumia fedha za ndani kugharamia uchaguzi mkuu

kinaonesha kuwa wakati wa nchi za magharibi kuingilia chaguzi za Afrika umekaribia mwisho.

Ikumbukwe nchi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zinaingilia chaguzi za Afrika kupitia pesa ambazo zimekuwa zikitoa kwa nchi hizi kama misaada ya kusaidia bajeti za uchaguzi.

Kutokana na hilo nchi za magharibi zimekuwa zikituchagulia viongozi na saa nyingine kutulazimisha tutoe mafunzo kuhusu chaguzi hizi yenye kulalalia milengo ya demokrasia ya magharibi.

Ikumbukwe kuwa demokrasia ya nchi za magharibi na Afrika ni tofauti japo wazungu hawa wanatulazimisha tuwe na demokrasia kama yao kitu ambacho hakiwezi kutokea kwa sababu sisi demokrasia yetu imejengwa katika misingi ya undugu, umoja na ustarabu.

Misingi ya demokrasia ya nchi za magharibi imejengwa katika chuki, dhuluma, ubinafsi, unyonyaji na ukosefu wa maadili. Hivyo kila wanapotoa pesa zao kugharamikia chaguzi zetu wanatulazimisha kufuata misingi ya demokrasia yao na kupandikiza vibaraka wao wa kuisimamia iwapo watashinda.

Ndio maana katika chaguzi za Afrika kwa sasa hivi kimekuwa kitu cha kawaida kusikia waafrika vibaraka wa wazungu wakihubiri kuanzisha mila za ushoga iwapo watachaguliwa kuongoza nchi zao. Hii yote inatokana na kitendo cha nchi za magharibi kuingilia chaguzi zetu kupitia msaada wa fedha zao.

Sasa itoshe kusema Rais Magufuli amefungua njia chonde chonde nchi za Afrika tumieni hela za ndani kugharamikia chaguzi za ndani kuepuka masharti ya wazungu.

Ikumbukwe kuwa Afrika inabidi iongozwe na waafrika wenyewe ili kutetea maslahi ya waafrika. Aliwahi kusema Rais wa Kwanza wa Zimbabwe marehemu Robert Mugabe kuwa Zimbabwe ni ya wazimbabwe.

Alichoimanisha kipindi hicho Marehemu Mugabe ni kuwa nchi za magharibi na hasa uingereza kwa muktadha huo isiingilie maslahi ya wazimbabwe.

Wito wa marehemu Mugabe ndo kilikuwa kilio cha wapigania uhuru wengine wa Kiafrika na wanamapinduzi kama Mwalimu Nyerere, Patrice Lumumba, Samora Macheli, Augustino Neto, Keneth Kaunda, Thomas Sankara na wengineo wengi ambao baada ya kufariki viongozi wa kiafrika waliobaki walitupa ndoto zao na jasho lao na kuanza kutegemea wazungu kwa kila kitu.

Sasa Afrika amkeni Rais Magufuli amefungua njia ya bara la Afrika kujitegemea. Na amekuwa anasisitiza hilo kuwa Afrika ni tajiri haipaswi kuendelea kutegemea misaada ya wazungu katika kila sekta bali itumie rasilimali zake kujiendeleza na watu wake.

Kwa mwendo Rais Magufuli anaoenda nao kama nchi za Afrika zote zitamuiga basi Afrika litaendelea kuwa bara la thamani na nchi za magharibi zitatuheshimu kwani haziwezi kuishi na kuendelea bila rasilimali kutoka Afrika.

Asante sana Rais Magufuli kwa jitihada zako ngoja tuone nani atakufuata katika chaguzi zijazo Afrika. Natumaini Viongozi wa Kiafrika hawatendelea kula matapishi ya wazungu kwa kufadhiliwa chaguzi zao za ndani.

Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu wabariki watanzania, Mungu Mbariki Rais Magufuli.
 
Unalipwa na akili yako au ni wale wale wa buku 7fc?
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Na hakuna pesa yoyote ya ndani bali ni Hizo hizo pesa za mikopo. Na figure inayotajwa ya uchaguzi sio ya kweli maana hizo karatasi zimechapwa hapa hapa, ndio maana kulikuwa na kura za kwenye mabeg.
 
Mjinga ujingani
 
Ombi : Utoaji mimba uruhusiwe ili kuwaepusha wazazi na aibu kama wazazi wa mleta mada wanavyodhalilika
 
Ni kweli Afrika na dunia nzima hawatamsahau JPM kwa namna alivyoendesha uchaguzi. Ni wa ajabu haijapata kutokea.
 
Back
Top Bottom