Mwaka 2019 utakuwa mgumu sana kimaisha. Tuchukue tahadhari

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Haya ni maoni na tafakuri yangu.

Iwe ulilia kwa sauti na kububujikwa na machozi mengi au ulililia tumboni na kuvaa tabasamu danganyifu mwaka huu wa 2018, kilio zaidi kwa mwaka 2019 .

Mwaka 2019 Tutarajie haya:

1) Misaada mingi ya wahisani kupungua sana kama sio kukwama.

2) Mapato mengi ya serikali kutumika kulipia miradi ya maendeleo inayoendelea kujengwa kama SGR, Stiglers Gorge, Ujenzi wa Meli, Kununua Ndege na Miundo mbinu

3) Kupanda kwa gharama za nishati ya mafuta na usafiri kama ilivyoanza kuonekana hivi sasa.

4) Kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya sarafu nyingine.

5) Ukosefu wa ajira rasmi - Hakutakuwa na ajira mpya.

6) Anguko kubwa la Sekta binafsi ambayo ndio inaajiri theluthi mbili ya watanzania wenye ajira rasmi.

7) Matumizi mapya ya serikali haswa uchaguzi wa serikali za mitaa nakadhalika.

8) Kuanguka kwa sekta ya kilimo ambako kutatokana na anguko la bei ya mazao na uzalishaji kama inavyojionesha katika kanda zinazozalisha mazao kipindi hiki cha vuli.

Ni vizuri Watanzania wakajua yajayo na yatarajiwayo ili wachukue tahadhari zinazofaa - KNOWLEDGE IS POWER

Heri ya mwaka mpya 2019 Watanzania wote
 
Dharau za jiwe zinapelekea kuwa Zimbabwe ya pili.au Venezuela nk.sifa na ubabe wa kichaa mmoja anatesa wananchi
 
usihofu sizonje keshamtuma jasusi wetu kwenda kuteta na mabeberu, na ikishindikana basi mzee mzima kwa mara ya kwanza atakwea pipa na kwenda ulaya kuwabembeleza mabeberu.
 
Hahahahaha.

Sinzonje akienda huko kwa mabeberu kutembeza bakuli sijui itakuaje maana
Naisubiri hiyo siku na namuomba Mungu aniweke hai kufikia Siku hiyo.Sijui WAFIA CHAMA watakuja singo gani ikiwa Rais wa wanyonge akiwa amekwenda kupiga goti na kukubaliana na Mabeberu.?
usihofu sizonje keshamtuma jasusi wetu kwenda kuteta na mabeberu, na ikishindikana basi mzee mzima kwa mara ya kwanza atakwea pipa na kwenda ulaya kuwabembeleza mabeberu.
 
Haya ni maoni na tafakuri yangu.

Iwe ulilia kwa sauti na kububujikwa na machozi mengi au ulililia tumboni na kuvaa tabasamu danganyifu mwaka huu wa 2018, kilio zaidi kwa mwaka 2019 .

Mwaka 2019 Tutarajie haya:

1) Misaada mingi ya wahisani kupungua sana kama sio kukwama.

2) Mapato mengi ya serikali kutumika kulipia miradi ya maendeleo inayoendelea kujengwa kama SGR, Stiglers Gorge, Ujenzi wa Meli, Kununua Ndege na Miundo mbinu

3) Kupanda kwa gharama za nishati ya mafuta na usafiri kama ilivyoanza kuonekana hivi sasa.

4) Kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya sarafu nyingine.

5) Ukosefu wa ajira rasmi - Hakutakuwa na ajira mpya.

6) Anguko kubwa la Sekta binafsi ambayo ndio inaajiri theluthi mbili ya watanzania wenye ajira rasmi.

7) Matumizi mapya ya serikali haswa uchaguzi wa serikali za mitaa nakadhalika.

8) Kuanguka kwa sekta ya kilimo ambako kutatokana na anguko la bei ya mazao na uzalishaji kama inavyojionesha katika kanda zinazozalisha mazao kipindi hiki cha vuli.

Ni vizuri Watanzania wakajua yajayo na yatarajiwayo ili wachukue tahadhari zinazofaa - KNOWLEDGE IS POWER

Heri ya mwaka mpya 2019 Watanzania wote
Hapo umezungumzia hasi vipi mambo gani mazuri unadhani tuyatarajie 2019.
 
Kw mtazamo wangu, 2019 ndio utakuwa mwaka wa neema kubwa, ukizingatia kuwa ni kipindi ambacho wanasiasa na serikali inatengeneza mazingira ya kukubalika kwa wananchi ili wapate dhamana ya kuongoza tena, kwa hiyo milango mingi itafunguliwa... Mark my words
 
Back
Top Bottom