Mwaka 2019 niliulizwa kuhusu wasifu wangu na mtu nisiyemjua na alichukua CV yangu

Cv yako kama tunavyoandika hatumiki kwenye vetting.
Hapo inawezekana walitaka kukushortlist kwa interview wakaona hautoshei.
Mara nyingi hawatumi barua ya kukupa taarifa hiyo.
 
Huwa inachukua mda hivyo hivyo,ni kawaida sana.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app

Ahsante kwa jib la kiungwana mkuu maana kuna wengine huku majibu yao ni kana kwamba wametumwa na shetani.
Angalau unampa mtu picha ya uhalisia maana naamini kuna wengine wana ujuzi wa haya mambo vzr zaid
 
This is what I was going to tell him ..aliwahi fanyiwa hivi mtoto wa sister angu kumbe walihitaji ajiunge nao .kama unafanya kazi wanaweza kuja hata mpka kazini kwako just to interview you ...my sister son alifanyiwa hivyo akaitwa lakini alikosea sehemu flani akakosa nafasi.
Alikosea sehem ipi mkuu
 
VIJANA NDIO MAANA MNAKOSA BAHATI KTK MAISHA KWASABAB HAMNA UWEZO WA KUTUNZA SIRI.
Kama umeweza kuropoka ktk jumuia hii,huko mtaani si kilamtu anajua ulifanya interview...? Huu ujinga usirudie tena. I hope nimeeleweka
ameskia kijana wako.
 
Hii stori haina tofauti na zile za watu kukaa wanategemea Mzungu akosee kutuma pesa, atume kwenye akaunti zao, au

Mtu anazurula barabarani akitegemea kuokota pesa.

In short ni stori za watu useless, waliodata, illusioned na wanaotegemea maajabu na bahati kwenye maisha.

Upuuzi mtupu. Hakuna kitu cha bahati mbaya dunia hii.
Au wale wanaosaka rupia za mjerumani teh...
 
Habari Wakuu.

Naomba kuuliza ivi mtu ukiitwa na mtu usiyemfaham anakuambia ametokea ofisi ya utumishi na akaanza kukuuliza maswali ya historia ulipozaliwa, uliposoma na kufanya kazi, unaonaje kuhusu Rais na una kadi ya chama kipi lakin anakataa kukuambia anakufanyia interview ya nini na anakuomba umuachie cv yako lakini hakuombi ela wala kukupigia simu.

Pia hasemi ni interview ya nini. Ni miaka miwili sasa imepita tangu October 2019. Ila simu anapokea na kusema nilifanya yanipasayo na ripoti nilishakabidhi, kwan hujaitwa? nikasema bado huku akishangaa, basi endelea kusubiri.

Naomba kufahamu hii ilikuwa ni nini?

Maana mara ya kwanza nilifikiri utapeli lakini nikasema angalau angaliomba pesa au akaunti ya benk lakini hakufanya hivyo.
Swali. Lingine hata kama ni vetting, hii ni ya namna gani hujui hata ofisi na hakuna maelezo ya kueleweka.

Niko serious naomba msaada.kwa mwenye ujuzi wa ili jambo, tafadhali usiweke masihara kama huna cha kujibu.

Akhsanteni.
Mtu anaandaliwa mazingira ya kupigwa hapa.
Ujipendekeze akuungNishe na huyo mtu uliwe kichwa, mjini hapa Kila siku mbinu mpya
 
Basi haufai tena unaanza kuvujisha taarifa ndogo kama hizi huko mbele utaweza kweli?
 
Hii stori haina tofauti na zile za watu kukaa wanategemea Mzungu akosee kutuma pesa, atume kwenye akaunti zao, au

Mtu anazurula barabarani akitegemea kuokota pesa.

In short ni stori za watu useless, waliodata, illusioned na wanaotegemea maajabu na bahati kwenye maisha.

Upuuzi mtupu. Hakuna kitu cha bahati mbaya dunia hii.

Fikra yako ni ndogo sana,pole sana.Unasikitisha.
 
Mara nyingi hiyo kazi yataka uwe na majina hata 10.
So jina lako amepewa mtu mwingine yuko huko nanyumbu.
But wewe unaoneka mjinga kabisa, unaombwa vyeti kimya kimya unakuja kutangaza huku jamii, huna privacy huko kwenu?.
 
Pole sana una tatizo la akili
 
Back
Top Bottom