telavivmossad
Member
- Jan 8, 2017
- 17
- 20
Naona waandae kura octoba mwaka huu aendelee hadi 2046
ni kweli tumerudi kwenye uchumi wetu haisi ambao ni UMASIKINI NA UFUKARA WA KUTUPWAMaisha yamekuwa magumu kwasababu watanzania waliamini kitu ambacho hakikuwa cha kweli, yaani uchumi ulokuwepo miaka ya nyuma haukuwa uchumi halisi ulikuwa ni wa kutengenezwa.
Kiukweli uchumi halisi ndiyo huu uuonao sasa, yaani unafanya kazi kwa bidii, unapata ujira wako na mwihsho unajipanga kulingana na kipato chako.
Uchumi halisi maana yake unafanya kazi kwa bidi kuzalisha pato la taifa huku wananchi wakipilwa ujira kulingana na kazi yao.
Hii ipo katika nchi nyingi sana duniani zinazojitambua.
Ni kweli kura ya maoni ifanyike ili wakulima tufaidi na sisi maana hadi ss hv kilo ya unga sh 2000 hadi ufike mwezi wa julay kilo itakuwa 4500,aendelee na huo utawala bora kabisa!Naona waandae kura octoba mwaka huu aendelee hadi 2046
Uku kwetu ni 2200Na kweli tunashughulikiwa, unga sasa umefika 1900 dukani kwa mangi.
Ukiona mtu anatukana hovyo, jua kaishiwa hoja, halafu bi mdogo ninayajua matusi kuliko wewe, umeishiwa hoja nyamaza.Sibishani na wajinga wajinga kama wewe! Eti tafsiri ya mvua hahahahaa
hebu jaribu uone ndo utaujua undani wanguUkiona mtu anatukana hovyo, jua kaishiwa hoja, halafu bi mdogo ninayajua matusi kuliko wewe, umeishiwa hoja nyamaza.
AnzaKwaiyo?
Mkuu sijui umri wako au dhumuni la hizi hoja zako labda ni kuwafanya watu wapande jazba au umetumwa, lakini naona elements za 'utoto' ndani yake.Taratibu mkuu, naona kama unakwenda "too extreme" yaani unavuka mipaka.
Yanayotokea au yalotokea Burundi ni hukohuko Burundi sisi tujikite na Tanzania yetu.
Hata hivyo raisi Nkurunziza hajafanya lolote la maana katika uongozi wake na muda alokaa ukilinganisha na mwaka mmoja na miezi mitatu ya uongozi wa raisi John Magufuli.
Ama kweli wewe umepitiwa na upepo si bure ... Hivi Ndg. unajua Dunia inavyokwenda wewe? au ndio bora liende tu!!! ...Mkuu, wale maafisa maalum wa masijala huwa hawakosei wanapomhitaji mtu fulani
mwenye sifa.
Siku zote walikuwa wakiwekewa zengwe lakini "last time - Bingo"
Raisi John Magufuli alipitishwa kwa kuwa na sifa.
Nafikiri utanielewa.
Only wajinga ndio husubiri wenzao waanze I'll wao wasemeAnza
Nia yako yaweza kua kumdhalilisha!!Naomba tuitishe kura ya maoni ya wanaoridhika aendelee mpaka 2020 Vs wanaotaka aachie ngazi mara moja
la pia alikusanya hela kila kona mpalka mishahara ikakatwa kwa lazima akidai anaipeleka kagera lakini hajapeleka ? alizitumia kwenye matumizi yapi labda kwa mfano?Mimi nimeziona serikali zote tano mkuu.
Zile nne zilikuwa ni za kubahatisha ila hii ni sawasawa kabisa.
Unafahamu kwamba JPM alikataa michango ya wafanyabiashara walipotaka kuchangia kampeni yake?