Mwaka 2018 umeanza Serikali ikiwa hawajagundua kuwa: "Uchumi wa uwanda sharti uedani na Uchumi wa kilimo!"

Fyafyafya

Member
Nov 30, 2017
53
187
Kwa hakika hakuna Mtanzania hata mmoja ambae hamuungi mkono Mh. Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli kwenye hii azma yake yakutaka nchi iwe na uchumi wa kati kupitia uchumi wa viwanda.

Raisi wetu mpendwa toka aingie madarakani amekuwa akihubiri uchumi wa viwanda na yeye ni mwumini sana wa viwanda kuwa chachu ya maebdeleo.

Hata hivo huwo ndo ukweli halisi. Bila kupepesa macho; hakuna inchi yeyote iloendelea bila kuwa na viwanda; huu ni ukweli mtupu! Ila kama taifa twapaswa kujiandaa vya kutosha na kuweka mazingura bora ya uchumi huo wa viwanda.

Pia hatupaswi kudharau kilimo kuwa ndo utii wa uhai wa Viwanda! Bila kuwa n uzalishaji wa hali ya juu kwenye kilimo hivo viwanda ni ndoto kuwa productive la sivyo vitabaki kuwa majokofu ya kufugia Popo.

Katika kufafanua hili nimeona kidogo nikuoneshe jinsi inchi za ulaya zilizoendelea kiviwabda hasa Uingeleza ilivyofanya.

Uwingeleza ndo Nchi ya kwanza kuwa na uchumi wa Viwanda. Yaani kuwa na mapinduzi ya Viwanda ( industrial revolution) kati ya miaka 1780 hadi 1850. Inchi nyingine zote za bara hilo na mabara nengine zote zilikuwa hazijawa na uchumi huo. Kwa kipindi hiko ndo tuliona Uwingeleza ikiwa juu kiuchumi. Na kuzalish bidhaa nyingi na ajira za kutosha. Waingeleza walinufaika sana na mapinduzi haya. (kasome British industrial revolution from 17th C) .

Kuanzia karne ya 19 ndo nchi nyingine zikaanza nazo kuiga mfumo wa uchumi wa viwanda wa Uwingeleza.

Waingeleza katika kuimalisha n kuendesha uchumi wao wa Viwanda waliona kuwa kilimo ni sehemu kuu ya mali Gafi ( Raw materials). Hivo basi walijikita katika uzalishaji wa kilimo.

Uzalishaji mkuu wa kilimo kusudi ya kupata mali gafi za kuhudumia viwanda hivyo ilileta Mapinduzi ya kilimo ( Agrarian Revolution/ Agricultural revolution) katikati ya karne ya 17.

Mapinduzi ya kilimo yaani Agrarian Revolution yalipelekea kuwepo na maligafi ya kutosha kwenye viwanda. Si mali gafi tu hata chakula majumbani kilikuwa cha kutosho na kukana na high export of agricultural product. Historia inatuambia kuwa watu waliongezeka; Wafaya kazi lia waliongezek mala dufu kwani hakukuwa na njaa. Inchi ya wingeleza ilijawa na nena. Miji mikuu kama Manchester; Liverpool; Yorkshire na Birmingham ilikuwa kwa kasi kubwa.
(Ukipata muda pitia effect of industrial and Agrarian revilution)

" No Agricultural/ Agrarian revolution; the industrial revolution is stagnant" ( Bila mapinduzi ya kilimo Vuwanda ni Bure) Haya ni maneno ya Arnold Toynbee aliekuwa mchambuzi na mshauri wa maswala ya uchumi Ikulu ya Taifa la wingeleza.

Serikali ya Wingereza ilimsikiliza na kulifanya kazi kwanza swal la kilimo ili kujihakikishia chanzo cha mali Gafi za viwanda.

Nami nakumbuka moja ya maswali niliyokuwa nikisolve nikiwa shuleni Advance lilikuwa hili " Discuss how
Agricultural Revolution has therefore been cited as a cause of the Industrial Revolution in England.

Kwa watu walosoma Uchumi kupitia HGE; Basi kwenye History kama hawakuwa Vilaza au watoro naimani Topic hizi za Indusrial na Agrarian revolution in England walizisoma. Na hata kwa sasa wanafunzi wa sasa wanaosoma michepuo yenye historia bado maada hizi wanazisoma.

Tukiachana na mfano wa Wingereza; tuone mfano rahisi tu wa Nchi ya Kenya.
Kenya ni nchi mojawapo ya Afrika mashariki. Pia ni nchi jirani yetu. Kenya ndo inayoongoza kwa uchumi mkubwa kwenye hizo nchi za Africa Mashariki. Uchumi wa Kenya Umeimalishwa na Viwanda pamoja na Kilimo.

Wakenya waliookuwa wanaanzisha viwanda hawakupuuzia swala la kilimo. Pale kenya kuna Viwanda vya kutosha pamoja na mashamba ya kutosha yenye mazao kibao. Mali gafi a viwanda vya kenya zinapatikana kwenye mashamba hayo. Kwa sasa Kenya iko powerful industrialized kuliko nchi yeyote ya Africa mashariki.

Watanzania tunajifunza kitu kimoja hapa kuwa Uchuminwa Viwanda na Uchumi wa Kilimo ni vitu viwili ambavyo havitengani yaani :" Industrial revolution and Agrarian Revolution are
two side of the same coin."

Watanzania walowengi wanajiuliza;

- Mbona hakunjitihada zozote za kuimarisha secta ya kilimoa pamoja na jitihada ambazo Mh. Rais anazifanya kugeuza Tanzania kuwa nchi ya Viwanda?

-Hivo viwanda vitaoperate vipi bila ya kuwepo na uzalishaji wa kutosha?

- Serikali inatazamia kujenga Tanzanua ya Viwanda vya namb gani ambavyo havihitaji shughuli za kilimo?
 
Fyafyafya hebu rekebisha heading kwanza, papara ya Nini?, heading nzuri huhamasisha watu kusoma Uzi
 
Pia hakiki habari kabla hujairuhusu,point zipo ila kuna makosa ya kiuandishi
 
Back
Top Bottom