Mwaka 2017 nilimuokoa kaka yangu wa hiari aliyekuwa anasumbuliwa na ndoa yake

Huo ndio uwanaume sasa sio unaona mwanaume mwenzio anateseka wewe kazi kupiga domo na kumcheka hayo mambo ni ya kishoga

Mkuu inabidi upewe cheo cha ugeneral kwa wanaume makini maana sio kazi ya kitoto kumbadilisha aliyekuwa mr.nice guy kuwa bad boy
Saizi anakula tu maisha bro wa watu
 
Umeharibu ndoa ya watu... just imejen huyo bidada ajue kuwa we ndiye chanzo cha njiwa wake kupaa!!
Kwa hiyo huyu bro angetelekeza familia ndio ingekua poa....?

Mimi nikipogana kiaina kuweka sawa ili watoto wakue na walelewe na baba na mama japo kwa mbinde ila watoto wanaenjoy japo maza yao ndio sumu
 
Dah wanawake wanakwama wapi jamani. Una mme muelewa, anakujari, ww mwenyewe beki tatu, huna hata pa kupatia 100. Lkn umejaa kiburi na dharau.

Imeniuma sana. Huyo jamaa asigeuke nyuma.
 
Sijui ni kwa nini wanawake wakioneshwa upendo wa kweli hukengekeuka.

Umemshauri vizuri bro aisee.
Hata akikengeuka usiache kumuonesha Upendo. Hivi unatambua kwamba hata kutoa adhabu kwa kipimo halali kutokana na kosa nako pia ni kuonesha Upendo? Mfano Mungu kuwatupa watu motoni usidhani kwamba hawapendi. Anawapenda sana tu.
 
Dah wanawake wanakwama wapi jamani. Una mme muelewa, anakujari, ww mwenyewe beki tatu, huna hata pa kupatia 100. Lkn umejaa kiburi na dharau.

Imeniuma sana. Huyo jamaa asigeuke nyuma.
Ujasiri wa mke kukufanyia hayo yote inategemea na mwanaume ulivyojiweka. Maisha ni mwandiko, unaandika wengine wanakusoma.
 
Dah wanawake wanakwama wapi jamani. Una mme muelewa, anakujari, ww mwenyewe beki tatu, huna hata pa kupatia 100. Lkn umejaa kiburi na dharau.

Imeniuma sana. Huyo jamaa asigeuke nyuma.
Wanawake wanajazana sana ujinga wakiwa wao kwa wao yaani kwao ni rahisi kuamini yule mwanamke ambae hadi kula yake inategemea dudu, na kuzurula mitaani Kama paka shume wanaamini anaishi maisha mazuri kuliko wao ambao wameanzisha familia na wanatakiwa kuzisimamia na kuletewa kila kitu nyumbani.
 
Hata akikengeuka usiache kumuonesha Upendo. Hivi unatambua kwamba hata kutoa adhabu kwa kipimo halali kutokana na kosa nako pia ni kuonesha Upendo?. Mfano Mungu kuwatupa watu motoni usidhani kwamba hawapendi. Anawapenda sana tu.
Kuna kusamehe kwa Aina mbili kusamehe ili mambo yaende sawa na kusamehe ili wote muharibikiwe chaguo ni lako
 
Mimi nimeachana na yote uliyoandika, nawawaza hao wasuluhishi tu, hivi mtu unawezaje kuvumilia kusuluhisha mambo ya hivii!?.

Hao waliitaji maelekezo tu sio usuluhishi kwakweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom