Mwaka 2016 Rudisha uwe 1752 kwa nchi za kiafrika

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Ni ushauri tu; Nchi nyingi za Africa chini ya viongozi wao bado wanafikira za miaka 1752. Ntashukuru iwapo Tanzania tutabadili kalenda na kuweka mwaka 1752.

Mtazamo
 
Kweli kabisa.....enzi zile intelijensia ikisema jua linazunguka dunia ni sawa

Au kufanya mikutano ya hadhara kujadili mambo ya nchi ni kosa
 
Back
Top Bottom