Mwaka 2016 haukuboresha maisha ya wananchi - Zitto

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
May 2, 2016
559
807
Kiongozi wa ACTWazalendo, Zitto Kabwe amesema mwaka 2016 ulikuwa wa utumbuaji wa majipu na kusahau kuongoza na kuboresha maisha ya wananchi.

Akizindua kampeni za chama hicho katika Kata ya Kijichi, Dar es Salaam, Zitto alisema Serikali
inapaswa kuendelea mapambano dhidi ya ufisadi lakini pia kuimarisha hali za wananchi.

Akimnadi mgombea wa chama hicho, Edgar Mkosamali, Mbunge huyo wa Kigoma Mjini alisema,“Sisi kama chama hatuna tatizo na mapambano ya Serikali dhidi ya ufisadi na rushwa, lakini ni vyema mapambano hayo yakaenda sambamba na kuimarisha hali za watu na hilo ndilo tatizo la walio wengi.”
 
Tena nilikuwa na nia ya kujiunga na ACT yaani kwa sasa sina hamu. Haw ndio wanaochukua peza za NSSSF halafu kutwa eti hamna maendeleo. Unafiki mtupu. Aturudishie kwanza hela zetu ( nami mchangiaji mkubwa wa NSSF) ndio aje na hoja zake hapa!
 
Mkuu kama ni mwanachama hata wewe unaweza kukopa
 
Mbona CDM kila mwaka mnachukuwa fedha toka nje, ndo kusema mtatuuza kwa Waingereza?

Anyway:-
Mwenye ufahamu anijuze huyu Edgar Mkosamali ndiye akigombea ubunge kwa chama hicho Muhambwe - Kibondo mwaka 2015???

Kazi kwenu Wanakijichi!!!
MSAKILA KABENDE
BUKOBA
 
Back
Top Bottom