Mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu mabasi toka kimara posta yatakuwa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu mabasi toka kimara posta yatakuwa hivi

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 12, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  ILI KUPAMBANA NA KUZOROTA KWA UCHUMI WA WAKAZI WA DAR,MABASI YAENDAYO POSTA YATAWEKWA VITI MAALUMU VYENYE KOMPUTER ILI UKIINGIA TU UNA LOG IN NA KUENDELEA NA KAZI,NADHAN TOKA KIMARA MPAKA POSTA UTAKUWA UMEFANYA KAZI ZA KUTOSHA-CHAGUA C.... 2015 MAISHA YAKO YAWE BORA-MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hata nchi ya Kusadikika haikuwahi fikiriwa haya! Watu wanaiba screw zilizofungiwa viti uwanja wa Taifa wakauze chuma chakavu itakuwa hii?
   
 3. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,647
  Likes Received: 5,237
  Trophy Points: 280
  labda"CUf"
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuuuuuuh, Good Imaginations, anyway its good 2 be optimistic.
   
 5. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ccm tu hao wanaanza kampeni
   
Loading...