Mwaka 2013 unaishia unajua STATUS ya haya hapa chini ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Wana JF
Watanzania wengi na hasa waandishi wa habari wa Tanzania sote tunajua ni makanjanja .Ombamba na wanao weza kununuliwa na kuandika lolote ili mradi mkono uende kinywaji .Ni wepesi kusahau na hata kupingana na walicho kiandika .Mimi sitaki kuwa kama wao na wewe najua hutaki kabisa kuwa kwenye kundi hilo .Sasa basi tujikumbushe lakini pia kama kuna mwenye kujua status ya lolote hapa aseme, pia ongeza lile unalo kumbuka ni tukio la mwaka huu .

- Kapuya na tuhuma za kubaka
-Magari ya Ikulu na mafuta machafu kule Moshi
-Kesi za Mbowe
-Kesi za Lema
-Kesi za Slaa
-Kesi za wamwaga tindikali kule Zanzibar
-Mauji ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Zanzibar
-Tindikali kwa mtoto wa Kiigereza Zanzibar
-Kujivua gamba kwa CCM
-Mangula na miezi 6
-Wassira na kifo cha Chadema
-Kesi ya Riziwani dhidi ya Slaa
-Watuhumiwa wa madawa ya kulevya
-Pembe za ndovu jijini Dar .

Naomba ongeza lakini pia kama unajua status kwa sasa tuwekane sawa .
 
Chadema yavuna wanachama elfu 37,000 Jimbo la Mvomero TanzaniaDaima
Dr.Slaa alishinda Urais TanzaniaDaima
 
We always advise these folks kwamba kama huna la kusema si lazima kila post una andika .You can read and pass kwa nini mtu hawezi kusoma na kuacha kusema kama hana nyongeza .Not right at all .We are tired na tabia hizi .
 
Weka na picha

Then wewe unakichwa kikubwa lakini akili hakuna,kila thread unaandika huu UUjin.ga wako hapa.ACHA HIZO WE NI MTU AMBAYE NAFIKIRI UPO JUU YA MIAKA 10 UNAWEZA UKAFIKIRI VYEMA TU KULIKO HUU UPUUUMBAV.U UNAOUWEKA HAPA.UNAKERA
 
Wana JF
Watanzania wengi na hasa waandishi wa habari wa Tanzania sote tunajua ni makanjanja .Ombamba na wanao weza kununuliwa na kuandika lolote ili mradi mkono uende kinywaji .Ni wepesi kusahau na hata kupingana na walicho kiandika .Mimi sitaki kuwa kama wao na wewe najua hutaki kabisa kuwa kwenye kundi hilo .Sasa basi tujikumbushe lakini pia kama kuna mwenye kujua status ya lolote hapa aseme, pia ongeza lile unalo kumbuka ni tukio la mwaka huu .

- Kapuya na tuhuma za kubaka
-Magari ya Ikulu na mafuta machafu kule Moshi
-Kesi za Mbowe
-Kesi za Lema
-Kesi za Slaa
-Kesi za wamwaga tindikali kule Zanzibar
-Mauji ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Zanzibar
-Tindikali kwa mtoto wa Kiigereza Zanzibar
-Kujivua gamba kwa CCM
-Mangula na miezi 6
-Wassira na kifo cha Chadema
-Kesi ya Riziwani dhidi ya Slaa
-Watuhumiwa wa madawa ya kulevya
-Pembe za ndovu jijini Dar .

Naomba ongeza lakini pia kama unajua status kwa sasa tuwekane sawa .
mbona mzito kabwela umemuacha..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom