Mwaka 2013 unaishia unajua STATUS ya haya hapa chini ?

mkuu wewe ndo mmiliki wa jf? Sidhani kama una haki ya kumzuia mtu asichangie mada kisa wewe ndo umeanzisha.
Jf kila mtu yuko huru kusema na kutetea anacho amini kwa uwazi.

this forum is for great thinkers mkuu, not every Tom Dick and Harry. kumbuka hilo. uhuru wa kutoa maoni sio kuleta pumba hapa... kapata jibu analostahili huyo ngedere.
 
Wana JF
Watanzania wengi na hasa waandishi wa habari wa Tanzania sote tunajua ni makanjanja .Ombamba na wanao weza kununuliwa na kuandika lolote ili mradi mkono uende kinywaji .Ni wepesi kusahau na hata kupingana na walicho kiandika .Mimi sitaki kuwa kama wao na wewe najua hutaki kabisa kuwa kwenye kundi hilo .Sasa basi tujikumbushe lakini pia kama kuna mwenye kujua status ya lolote hapa aseme, pia ongeza lile unalo kumbuka ni tukio la mwaka huu .

- Kapuya na tuhuma za kubaka
-Magari ya Ikulu na mafuta machafu kule Moshi
-Kesi za Mbowe
-Kesi za Lema
-Kesi za Slaa
-Kesi za wamwaga tindikali kule Zanzibar
-Mauji ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Zanzibar
-Tindikali kwa mtoto wa Kiigereza Zanzibar
-Kujivua gamba kwa CCM
-Mangula na miezi 6
-Wassira na kifo cha Chadema
-Kesi ya Riziwani dhidi ya Slaa
-Watuhumiwa wa madawa ya kulevya
-Pembe za ndovu jijini Dar .

Naomba ongeza lakini pia kama unajua status kwa sasa tuwekane sawa .
Mhe.kubebwa mzobemzobe kutolewa Bungeni.
 
Wewe ni mjinga tu never come here kwenye post zangu
I am serious and not wiping mavizi ya mabwana kama wewe .Endelea kupangusa na kuosha vinyesi huko huko you are a dog corpse

mkuu vipi mbona unaanzisha matamshi machafu tena..!?
 
Wewe ni mjinga tu never come here kwenye post zangu
I am serious and not wiping mavizi ya mabwana kama wewe .Endelea kupangusa na kuosha vinyesi huko huko you are a dog corpse

aisee kilichokuuma ni kitu gani bana kwani uongo mumesema watu waongeze status sa kinakuuma nini mwizi wa wake za watu
 
Pole sana Lunyungu kuna watoto hapa hawana heshima wameona uweka mambo ambayo yamekuwa na hasara na mvuto wa watanzania yeye anasema mambo binafsi .
 
Back
Top Bottom