Mwaka 2011 Mwaka wa Neema ya Vikombe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaka 2011 Mwaka wa Neema ya Vikombe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makanyaga, Apr 1, 2011.

 1. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,501
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Binafsi nitaukumbuka sana mwaka huu kwa jina hilo, kukienzi kikombe cha babu na vingine vinavyozidi kujitokeza (assuming navyo viko genuine pia kama kile cha babu). Nakumbuka, kwa wale tuliozaliwa baada ya 47, tunaukumbuka sana kama mwaka 1984 kama mwaka wa njaa kali mno kuwahi kutokea nchini kwetu!
   
 2. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni neema au balaa, hata kikombe cha babu bado hakijathibitishwa kisayansi kama inatibu!
   
Loading...