Mwaka 2008 alijiuzulu LOWASSA nikiwa Dodoma, na 2022 amejiuzulu NDUGAI nikiwa Dodoma tena!

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
714
1,137
Nakumbuka mwaka 2008 nikiwa mitaa ya Kisasa ama nyumba mia tatu nilisikiza hotuba kali kutoka bungni Lowassa akiachia uwaziri mkuu wa jamhuri yq mungano wa Tanzania chini ya spika Samwel Sitta. Ilikuwa hotuba ya kusisimua sana kutoka kwa Lowassa baada ya kamati ya Mwakyembe kumtuhumu kuhusika na dili chafu za Richmond.

Tarehe sita January 2022 nikiwa Dodoma mitaa ya Nzuguni nasoma tena walaka wa Spika Ndugai akibwaga manyanga kama spika wa bunge la jamhuri ya mungano wa Tanzania. Matukio yote yanatokea kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Tanganyika na Tanzania.
Inaonekana uwepo wangu Dodoma huwa unaenda vibaya kwa viongozi wakubwa wa nchi hii.
Safiri hii sikupenda sana jinsi spika Ndugai ameachia ngazi. Ilirakiwa asubiri mpaka bunge likutane Dodoma kwanza halafu abwage manyanga kwenye kikao cha bunge tuone reaction za wabunge wenzake wakiwa mjengoni. Pengine kuna wabunge wangekataa kwa yeye kuachia uongozi na wengine wangeunga mkono kwa Ndugai kuachia ngazi. Hapo ndipo tungeona mijadala mipana ya wabunge wanaokubali hoja ya Ndugai na wanaompinga.
Hata hivyo najua mjadala lazima utakuwepo miongoni mwa wabunge wanaomkubali Ndugai na wale wanaompinga
 
Kwahiyo? Wote walikugegeda?
 
So what?
 
HAMA DODOMA HAPAKUFAI
 
Unawasababishia gundu wenzio, usiende Dodoma tena.
 
Back
Top Bottom