Mwaka 20, Yahya Hussein alitabiri kuwa mtu maarufu nchini atafariki dunia

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Mwezi March mwaka 2011, aliyekuwa mtabiri maarufu Afrika Mashariki na Kati Marehemu Sheikh Yahya Hussein alitabiri kuwa mwaka huo kuna mtu maarufu nchini angefariki dunia. Miezi miwili baadae akafariki yeye.

Unaelewa nini?
 
Na yeye alikuwa ni mtu mmojawapo wa hao aliokuwa akiwatabiria!
 
Mwezi March mwaka 2011, aliyekuwa mtabiri maarufu Afrika Mashariki na Kati Marehemu Sheikh Yahya Hussein alitabiri kuwa mwaka huo kuna mtu maarufu nchini angefariki dunia. Miezi miwili baadae akafariki yeye.

Unaelewa nini?

Alijitabiria kifo chake mwenyewe, kwani kama ulivyosema alikuwa mtabiri maarufu Afrika ya Mashariki na Kati
 
Back
Top Bottom