Informer
JF-Expert Member
- Jul 29, 2006
- 1,582
- 6,627
Mgogoro wa mikataba kati ya Uongozi wa Regional Air na Staff wasababisha General Manager kukimbia wafanyakazi kwa kufunga ofisi.
Wafanyakazi walikuwa na mikataba ya kudumu kuanzia 1997, lakini mwajiri pasipo kufuata sheria za kazi za nchi, ameamua kutoa mikataba ya muda mfupi na kulazimisha wafanyakazi wasign pasipo kusitisha mikataba ya awali.
Wafanyakazi wanahaha na kuomba msaada wa kisheria ili walipwe haki zao.
Pia wanasikitika sana, swala hili litaharibu taswira ya utalii hasa katika kipindi hiki kigumu katika maswala ya uchumi.
Mamlaka husika kama TCAA Inatakiwa kuingilia kati swala hili kwa sababu sheria tayari zimevunjwa. Idadi ya wafanyakazi ambao wanatakiwa ili ku meet requirements za authority hazijatimia.