jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,780
Mpaka tutakapoacha "mazoea".....
Mpaka tutakapoanza kuwa na "maono ya picha kubwa" juu ya nchi yetu.....

Unaangalia upande mmoja tu wa shilingi, unatuonyesha picha za barabara za Nairobi mji mkuu, lakini hauonyeshi barabara za kuunganisha mikoa kwa mikoa, na ninaweza kukuhakishia ukionyesha kwa wakenya barabara zetu za kuunga mikoa kwa mikoa wataona wivu sana nimesafiri sana Kenya na ninakwambia kwa miundo mbinu hawatufikii hata kidogo!
Hivi unafikiri kuunganisha Tz ~ km za mraba karibu 1 000 000 nzima kwa br ni kazi ndogo, Tanzania unaweza kusafiri zaidi ya km 1000 lami tupu Kenya huwezi kwa hiyo next time jaribu kuwa fair, na usiwe mbinafsi kwa kuangalia tu unapoishi,Tz ni zaidi ya Dar! Baada ya miaka michache utaweza kutoka Dar kuzungukia Mtwara mpaka Songea na kunyoosha mpaka unafika Mwanza kama unaona hilo ni bure basi kuna tatizo!
Ukweli husemwa:
Hakuna kitu kinachonihudhunisha kwa Watanzania kuwa na hizi fikra kuwa Kenya is better than Tanzania.
Wakati mwingine ni vigumu kujua uzuri wa nguo uliyoivaa mwenyewe hata ukijiangalia kwa kutumia kioo.
Kama unataka kulinganisha uongozi na mafanikio kati ya Raisi mwai Kibaki na Raisi Jakaya Kikwete jaribu kuwa na fikra pana ili ulinganishaji wako uonekane kidogo sahihi kwenye macho ya watu wenye fikra pana. otherwise, you'll look like having biased and corrupted mind.
Mkuu ukisema hizo barabara nzuri ni za nairobi tuu unakosea kwa kulinganisha barabara za kuunganisha mikoa na hizi za kwetu. Tofauti iliyopo ni kwamba barabara nyingi za kuunganisha mikoa huko kenya ni za siku nyingi sana na inakuwa unfair kufanya comparison na barabara zetu mpya ambazo hata nyingi hazijamaliza miaka mitano. Ukweli tutoe credit panapofaa, hatua waliyofikia ni nzuri na kama ulivyosema umetembea sana huko utajua na utaona kwamba barabara unazosema zimejichokea sasa hivi aidha zipo zinafanyiwa ukarabati na nyingine zinajengwa upya na kwa speed hiyo bado tutakuwa nyuma yao hasa ukizingatia Dar bado wapo kwenye mchakato, wapo mbioni, wanafanya utaratibu wa kupata mkandarasi etc, etc, etc kwa ajili ya kufanya copy paste ya walichofanya Nairobi. Nadhani hapa issue sio kilometa za barabara kuwa nyingi pia tuangalie rasilimali zetu ambazo zinatosheleza kabisa kuweka lami hata barabara ya Bunda - Mugumu nasi tuwe tunasafiri kwa raha kiasi..
Unaangalia upande mmoja tu wa shilingi, unatuonyesha picha za barabara za Nairobi mji mkuu, lakini hauonyeshi barabara za kuunganisha mikoa kwa mikoa, na ninaweza kukuhakishia ukionyesha kwa wakenya barabara zetu za kuunga mikoa kwa mikoa wataona wivu sana nimesafiri sana Kenya na ninakwambia kwa miundo mbinu hawatufikii hata kidogo!
Hivi unafikiri kuunganisha Tz ~ km za mraba karibu 1 000 000 nzima kwa br ni kazi ndogo, Tanzania unaweza kusafiri zaidi ya km 1000 lami tupu Kenya huwezi kwa hiyo next time jaribu kuwa fair, na usiwe mbinafsi kwa kuangalia tu unapoishi,Tz ni zaidi ya Dar! Baada ya miaka michache utaweza kutoka Dar kuzungukia Mtwara mpaka Songea na kunyoosha mpaka unafika Mwanza kama unaona hilo ni bure basi kuna tatizo!
Umeona tumesema Kenya is better? is just legacy... hiyo barabara inakwenda hadi Ethiopia...
Ni country wide 2 line expressway... sisi bado tunajenga one line ... tunagongana usiku Mchana
Unaangalia upande mmoja tu wa shilingi, unatuonyesha picha za barabara za Nairobi mji mkuu, lakini hauonyeshi barabara za kuunganisha mikoa kwa mikoa, na ninaweza kukuhakishia ukionyesha kwa wakenya barabara zetu za kuunga mikoa kwa mikoa wataona wivu sana nimesafiri sana Kenya na ninakwambia kwa miundo mbinu hawatufikii hata kidogo!
Hivi unafikiri kuunganisha Tz ~ km za mraba karibu 1 000 000 nzima kwa br ni kazi ndogo, Tanzania unaweza kusafiri zaidi ya km 1000 lami tupu Kenya huwezi kwa hiyo next time jaribu kuwa fair, na usiwe mbinafsi kwa kuangalia tu unapoishi,Tz ni zaidi ya Dar! Baada ya miaka michache utaweza kutoka Dar kuzungukia Mtwara mpaka Songea na kunyoosha mpaka unafika Mwanza kama unaona hilo ni bure basi kuna tatizo!
Ukweli husemwa:
Which Legacy?, By singled one among so many priorities. Remember, Every countries have different priorities (social and economic)