Mwai Kibaki ni Rais Kenya kwa Miaka 10 sasa; JK Kikwete Miaka 7; Kibaki kaondoa tatizo ka Usafiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwai Kibaki ni Rais Kenya kwa Miaka 10 sasa; JK Kikwete Miaka 7; Kibaki kaondoa tatizo ka Usafiri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Aug 13, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  Angalia hizi Barabara, ni kama za USA zilivyo pana na Mabango hayachanganyi wanaosafiri...

  Ni kwanini Serikali ya CCM haiwezi kujihusisha na Project's kubwa kama hizi? Yaani Unakumbuka walipojenga'

  Salendar Bridge wakati wa Nyerere na walikuwa ni KAJIMA? ile Barabara iko vilevile... Lakini baada ya Nyerere

  kuondoka waliwaita KAJIMA; Barabara zikawa kama mitumbwi kwanini? hakuna UFANISI wote ni 10% hakuna

  Uchungu wa NCHI; Hembu angalia wakenya na UKABILA wao wanatuzidi sasa...


  Kenya elevated highway works to start in January 2013


  Works on an elevated highway in Kenya are due to begin in January 2013.

  The initial US$200million cost of the project will be funded by the World Bank. The 12km stretch above the present Waiyaki Way and Mombasa Road-Uhuru Highway is due to be completed in 2015
   
 2. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Unaangalia upande mmoja tu wa shilingi, unatuonyesha picha za barabara za Nairobi mji mkuu, lakini hauonyeshi barabara za kuunganisha mikoa kwa mikoa, na ninaweza kukuhakishia ukionyesha kwa wakenya barabara zetu za kuunga mikoa kwa mikoa wataona wivu sana nimesafiri sana Kenya na ninakwambia kwa miundo mbinu hawatufikii hata kidogo!

  Hivi unafikiri kuunganisha Tz ~ km za mraba karibu 1 000 000 nzima kwa br ni kazi ndogo, Tanzania unaweza kusafiri zaidi ya km 1000 lami tupu Kenya huwezi kwa hiyo next time jaribu kuwa fair, na usiwe mbinafsi kwa kuangalia tu unapoishi,Tz ni zaidi ya Dar! Baada ya miaka michache utaweza kutoka Dar kuzungukia Mtwara mpaka Songea na kunyoosha mpaka unafika Mwanza kama unaona hilo ni bure basi kuna tatizo!
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Hii inaenda hadi THIKA; MOMBASA; NAKURU unakumbuka inatengenezwa na Wachina ni

  ile express way yao... iliyokuwa inaua kama Dar-Dodoma; Mbeya-Dar   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  sisi hatuwezi kila kitu
   
 5. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu pongezi za dhati zimwendee mwai kibaki kwa kumteuwa waziri mwenye dhamana ni matumaini yangu vigezo na masharti vilizingatiwa

  nirudi nyumbani tz baba rizi kamteuwa waziri shosti wake unategemea nini kwanza yeye ndie alimpa pesa za campeni

  mbege ya leo inakauchachu
   
 6. MsemajiUkweli

  MsemajiUkweli JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 8,918
  Likes Received: 12,134
  Trophy Points: 280
  Ukweli husemwa:


  Hakuna kitu kinachonihudhunisha kwa Watanzania kuwa na hizi fikra kuwa Kenya is better than Tanzania.

  Wakati mwingine ni vigumu kujua uzuri wa nguo uliyoivaa mwenyewe hata ukijiangalia kwa kutumia kioo.

  Kama unataka kulinganisha uongozi na mafanikio kati ya Raisi mwai Kibaki na Raisi Jakaya Kikwete jaribu kuwa na fikra pana ili ulinganishaji wako uonekane kidogo sahihi kwenye macho ya watu wenye fikra pana. otherwise, you'll look like having biased and corrupted mind.
   
 7. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  sema mimi siwezi hapo utaeleweka. wengine tunaweza kwa hiyo usitake kutuwakilisha sote na mawazo yako ya kinyonge, tafadhali!
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mpeni Kikwete muda atekelezea ahadi zake. Baada ya miaka mitatu Kigoma itakuwa kama Dubai. Ziwa Viktoria litakuwa na meli mpya mpya. Wanafunzi wetu kila mmoja atakuwa na laptop. Mpeni muda.
   
 9. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Na walimu watafundisha kwa kutumia mtandao kwa maana nyingine uhaba wa walimu utakuwa historia...niseme zaidi?
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Basi na sisi tuonyeshe barabara zetu kuu za dar es salaam mbona mnakataa ukweli?!!
   
 11. m

  manduchu Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa mipango yao, kenya wako mbali si tumebakia na ubishi,ufisadi, kutochambua mambo kwa makini, majibu mepesi kwa maswali magumu,hatuna dira inayoeleweka. wakenya wameomba kuandaa olimpic 2024, sijui kama viongozi wetu wamewahi waza mambo kama hayo,
   
 12. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  We acha tu. Siku moja tutakuja kuangalia hii miaka 10 ya utawala wa Kikwete kama lost generation. Ameturudisha sana nyuma, na inatia uchungu kuona bado ana miaka mitatu zaidi.
   
 13. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Hata kama ni uzalendo,ifike mahali tukubali kwamba wenzetu wapo juu zaidi yetu.viongozi wetu wamekalia kujenga makasri na kujaza malori ya usafirishaji.wenzetu tayari wanampango wa kujenga pipeline from turkana to arusha.sisi tunawaza jinsi ya kukwiba tu.puuuu.
   
 14. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  “If you haven't confidence in self, you are twice defeated in the race of life. With confidence, you have won even before you have started. ”
  Marcus Mosiah Garvey
   
 15. Manager

  Manager JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 532
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye laptop kwa sekondari napakumbuka, sijui yaliishia wapi
   
 16. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Upembuzi yakinifu unaendelea, wahisani wameishapatikana, wafadhali wa kulipa fidia wananchi wanatafutwa, serikali hii sikivu imesikia na jitihada zinafanyika.....blah blah blah.
   
 17. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mkuu ukisema hizo barabara nzuri ni za nairobi tuu unakosea kwa kulinganisha barabara za kuunganisha mikoa na hizi za kwetu. Tofauti iliyopo ni kwamba barabara nyingi za kuunganisha mikoa huko kenya ni za siku nyingi sana na inakuwa unfair kufanya comparison na barabara zetu mpya ambazo hata nyingi hazijamaliza miaka mitano. Ukweli tutoe credit panapofaa, hatua waliyofikia ni nzuri na kama ulivyosema umetembea sana huko utajua na utaona kwamba barabara unazosema zimejichokea sasa hivi aidha zipo zinafanyiwa ukarabati na nyingine zinajengwa upya na kwa speed hiyo bado tutakuwa nyuma yao hasa ukizingatia Dar bado wapo kwenye mchakato, wapo mbioni, wanafanya utaratibu wa kupata mkandarasi etc, etc, etc kwa ajili ya kufanya copy paste ya walichofanya Nairobi. Nadhani hapa issue sio kilometa za barabara kuwa nyingi pia tuangalie rasilimali zetu ambazo zinatosheleza kabisa kuweka lami hata barabara ya Bunda - Mugumu nasi tuwe tunasafiri kwa raha kiasi..
   
 18. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Ameeeeen!
   
 19. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,177
  Likes Received: 1,259
  Trophy Points: 280
  Flyovers za kutupa!! Reli na train za mwendo kasi Mwanza - Dar, Meli kubwa mpya ziwa victoria!! Alinacha kweli tuna shida ya kuchambua tunadanyanywa kama vitoto vy under five yaani.
   
 20. cooper

  cooper JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Tutafika tu. Kuna watu wabishi wakiambiwa ukweli. Ni ukweli kuwa hatuna plan kama wernzetu. Angalia kilas bajet tunaambiwa folen Dar itakuwa historia lakini badala ya nafuu ndo hali iazidi kuwa mbaya. Bongo hakuna tunaweza kujivunia. Tutaendelea na mapango, mara mikakati mradi siku zina zinasonga. Si elimu, si kilimo, si utalii, si miundombinu. Wakati wenzetu wanafikiri kujenga bomba la mafuta kutoka kwao hadi Arusha sisi tumeshindwa bomba la Dar Mwanza. Ni kama tumelaaniwa hivi.
   
Loading...