Shukurani
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 253
- 11
Dada mwafrika wa kike napenda kukupongeza kwa kilio chako ulichokuwa unapeleka kwa JK, naona maono yako sasa yametimia. Sioni sababu za kuendela kuwa na baraza la mawiziri ambalo mwenyekiti wake ananuka rushwa. Mwafrika wa kike is now Challenging President Kikwete to dissolve his Cabinet for a prize of 84 cents