Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

mkuu, sio kwamba sijawahi soma hizo documentaries au pdf books xplaining kuhusu civilization ila the problem inakuja how comes the most civilized iwe controlled na waliokuwa chini ??

sijui kama unanielewa hapa...
kuna kitu kinafichwa why we felt down if at all you believe kuwa we had advanced civilization

Swala la kusema sijui wakatufanya tuwe slaves and so on haileti sense hata kidogo...
Kaaa ufikilie wew umekuwa na maisha mazuri na unadai una akili nyingi then aje mwingine akiteke akili na kukugeuza kuwa mtumwa wake ,huoni kuwa yule mtu ana akili kukuzidi wewe?!!! sasa kwa ushauri tu go and dig more juu ya kwanini vitabu vingi vya civilization vinasifia sana black race kuwa tulikuwa more civilized kuliko whites then tafuta hidden and unclassified documents zinazoelezea shifting of the continents ndo utaelewa kwanini tulijikuta tupo empty headed kabisaa kwenye mambo ya civilization...na kama huafiki basi jiulize inawezekanaje the most advanced one wapindukiwe na hao wenye uelewa mdogo sasa hapo huoni kuwa kuna kitu kimefichwa..??

sijui unannielewa ....??
Tunakalia kulaumu tulikuww tuna akili and so on then what went wrong??

Kwanini mpaka leo hatujabadilka ?

There is something what made changes juu ya hii kitu and needs to be xplained more in details ..
Mkuu hapa umenifanya niwaze zaidi
 
Mkuu hapa umenifanya niwaze zaidi

The problem is watu hawataki kureason deeply na kujiuliza ilikuwaje sisi tukawa viumbe wa mwisho kabisa kwenye civilization ya ulimwengu huu..

Ila wachache wanaandika vitabu kutujaza ujinga mara sisi tulikuwa more advanced zaidi kuliko wazungu then so what!!!? what happened hawawez kuaccess..

Wazungu walikuja kubeba dhahabu na madini adimu miaka hiyo enzi za mababu lakini hakuna kizazi kilichonote nini matumizi ya madini yake , na mpaka leo africa bado haijajua matumizi ya madini hayo japo inashuhudia jamaa wanakuja kuchimba na kuondoka mbali zaidi wanatufundisha juu ya kuchimba hayo madini kisha kuwauzia wao lakini ilihali matumizi sahihi ya madini hayo baadhi yake mpaka leo hayawekwi wazi..

Kama mtu huyo kajua matumizi ya madini miaka hiyo mpaka leo kakaaa kimya huoni kwamba huyo mtu kakuzidi pakubwa snaa ikiwemo pamoja na civilization??

Kama kweli sisi tulikuwa more civilized compared to whites kuna kitu bado hakijawahi wekwa wazi .

ilikuwaje kuwaje tukarudi nyuma kaisi kikubwa hicho!!??

We need to dig more and more juu ya hiyo kitu... lasivyo tukubali ngozi nyeusi ni lesser ever kuattain civilization na bado iko primitive kuadopt changes ..

Ukweli ni huo ila ukijilinganisha kwa mfanano wa kimaumbile na kusema sisi na wale jamaa ni sawa we are wrong..

utofauti upo tena mkubwa sana ..ukilazimisha kusema kuwa mtu mweupe na wewe ni sawa basi sema kuwa hata sisi na sokwe ni sawa kwani ukifanya DNA scan utakuta arrangement ya gene ipo sawa lakini kwanini upeo wa kufikiri kati ya sokwe na sisi ni tofauti despite tuna the same DNA arrangement ? lazima ukubali kuww kuna utofauti mdogo unaexist lakini umebeba siri nzito sana juu ya kutofautiana kwa intelligence..

Hii ya kusema races zote ni sawa na hao hao watu weupe ndo wameanzisha ili kuwafariji watu weusi na watu weusi tukaunga hoja ya mkumbo ili tusitumie akili zetu kustudy utofauti huu mdogo ambao kimsingi ndo umebeba siri nzito sana..

Lets stay silence kila mtu kwa wakati wake akubali mapungufu then atafute njia sahihi ya kuupata ukweli.
 
Dah ni kweli kuna siri hapo ,ila sasa kuijua ndio ngumu hata u dig kiasi gani
 
mkuu, sio kwamba sijawahi soma hizo documentaries au pdf books xplaining kuhusu civilization ila the problem inakuja how comes the most civilized iwe controlled na waliokuwa chini ??

sijui kama unanielewa hapa...
kuna kitu kinafichwa why we felt down if at all you believe kuwa we had advanced civilization

Swala la kusema sijui wakatufanya tuwe slaves and so on haileti sense hata kidogo...
Kaaa ufikilie wew umekuwa na maisha mazuri na unadai una akili nyingi then aje mwingine akiteke akili na kukugeuza kuwa mtumwa wake ,huoni kuwa yule mtu ana akili kukuzidi wewe?!!! sasa kwa ushauri tu go and dig more juu ya kwanini vitabu vingi vya civilization vinasifia sana black race kuwa tulikuwa more civilized kuliko whites then tafuta hidden and unclassified documents zinazoelezea shifting of the continents ndo utaelewa kwanini tulijikuta tupo empty headed kabisaa kwenye mambo ya civilization...na kama huafiki basi jiulize inawezekanaje the most advanced one wapindukiwe na hao wenye uelewa mdogo sasa hapo huoni kuwa kuna kitu kimefichwa..??

sijui unannielewa ....??
Tunakalia kulaumu tulikuww tuna akili and so on then what went wrong??

Kwanini mpaka leo hatujabadilka ?

There is something what made changes juu ya hii kitu and needs to be xplained more in details ..
Embu kasome hivyo vitabu utapata majibu yote why just go read hapa tutakesha i told you its a long story
 
Unajua hujapitia hivyo vitabu??embu kavisome kwanza utajua whats going on kama huwezi kuvisoma utakubali wewe ni the last civilization na western watafurahi kuona how blind and fool you are,go read the books ,waafrika tunavyoishi sivyo tulivyo ,we had our own lifestyle,clothing,houses,technology,religion,knowledge and power and very brilliant but western people used the descendants of our ancestors ,stole their legacy ,enslave and used other tactics to blind the rulers on late 1990s sio huko 6000bc shida moja hutaki kusoma hivyo vitabu unataka majibu mepesi kwa maswali yenye majibu mengi,nimekupa link some volume 1 tu atleast hayo majibu yote utayapata,na kingine usipojikubali we ni mtumwa wa fikra,usiwe busy kufatilia conspiracy wakati reality yako binafsi ya negro au black huijui wala hutaki kujua asili ama chimbuko na historia,do you think mzungu ndo atakusaidia ???au hizi virtual machines na technology za annunaki ndo zinakuchanganya??masimu,gari,treni,rocket,computer na blah blah ,the western are only indoctrinating the universe for demonic welfare and rule of power,trust your instinct ,trust your colour,trust your own religion and use hypothetical thinking PERIOD
The problem is watu hawataki kureason deeply na kujiuliza ilikuwaje sisi tukawa viumbe wa mwisho kabisa kwenye civilization ya ulimwengu huu..

Ila wachache wanaandika vitabu kutujaza ujinga mara sisi tulikuwa more advanced zaidi kuliko wazungu then so what!!!? what happened hawawez kuaccess..

Wazungu walikuja kubeba dhahabu na madini adimu miaka hiyo enzi za mababu lakini hakuna kizazi kilichonote nini matumizi ya madini yake , na mpaka leo africa bado haijajua matumizi ya madini hayo japo inashuhudia jamaa wanakuja kuchimba na kuondoka mbali zaidi wanatufundisha juu ya kuchimba hayo madini kisha kuwauzia wao lakini ilihali matumizi sahihi ya madini hayo baadhi yake mpaka leo hayawekwi wazi..

Kama mtu huyo kajua matumizi ya madini miaka hiyo mpaka leo kakaaa kimya huoni kwamba huyo mtu kakuzidi pakubwa snaa ikiwemo pamoja na civilization??

Kama kweli sisi tulikuwa more civilized compared to whites kuna kitu bado hakijawahi wekwa wazi .

ilikuwaje kuwaje tukarudi nyuma kaisi kikubwa hicho!!??

We need to dig more and more juu ya hiyo kitu... lasivyo tukubali ngozi nyeusi ni lesser ever kuattain civilization na bado iko primitive kuadopt changes ..

Ukweli ni huo ila ukijilinganisha kwa mfanano wa kimaumbile na kusema sisi na wale jamaa ni sawa we are wrong..

utofauti upo tena mkubwa sana ..ukilazimisha kusema kuwa mtu mweupe na wewe ni sawa basi sema kuwa hata sisi na sokwe ni sawa kwani ukifanya DNA scan utakuta arrangement ya gene ipo sawa lakini kwanini upeo wa kufikiri kati ya sokwe na sisi ni tofauti despite tuna the same DNA arrangement ? lazima ukubali kuww kuna utofauti mdogo unaexist lakini umebeba siri nzito sana juu ya kutofautiana kwa intelligence..

Hii ya kusema races zote ni sawa na hao hao watu weupe ndo wameanzisha ili kuwafariji watu weusi na watu weusi tukaunga hoja ya mkumbo ili tusitumie akili zetu kustudy utofauti huu mdogo ambao kimsingi ndo umebeba siri nzito sana..

Lets stay silence kila mtu kwa wakati wake akubali mapungufu then atafute njia sahihi ya kuupata ukweli.
 
Unajua hujapitia hivyo vitabu??embu kavisome kwanza utajua whats going on kama huwezi kuvisoma utakubali wewe ni the last civilization na western watafurahi kuona how blind and fool you are,go read the books ,waafrika tunavyoishi sivyo tulivyo ,we had our own lifestyle,clothing,houses,technology,religion,knowledge and power and very brilliant but western people used the descendants of our ancestors ,stole their legacy ,enslave and used other tactics to blind the rulers on late 1990s sio huko 6000bc shida moja hutaki kusoma hivyo vitabu unataka majibu mepesi kwa maswali yenye majibu mengi,nimekupa link some volume 1 tu atleast hayo majibu yote utayapata,na kingine usipojikubali we ni mtumwa wa fikra,usiwe busy kufatilia conspiracy wakati reality yako binafsi ya negro au black huijui wala hutaki kujua asili ama chimbuko na historia,do you think mzungu ndo atakusaidia ???au hizi virtual machines na technology za annunaki ndo zinakuchanganya??masimu,gari,treni,rocket,computer na blah blah ,the western are only indoctrinating the universe for demonic welfare and rule of power,trust your instinct ,trust your colour,trust your own religion and use hypothetical thinking PERIOD

Hapo ndo unazidi kupotea kabisa...ukiulizwa swali na layman kuwa wazungu waliwahadaaa aancestors wetu utamjibuje sasa if at all una claim kuwa they had advanced civilization??

Hivi unaelewa maana ya neno civilization lakini au unachanganya na cultural believe??

"the stage of human social and cultural development and organization that is considered most advanced.""
hiyo ndo maana ya kuwa civilized, sasa kama upo advanced interm of social and organization unakuja kuzidiwa maarifa na mtu uliyekuwa unamzidi huoni kuwa kuna shida hapo na haingii akilini wao watu weupe watoe wapi maarifa ya kuja kukuzidi wewe..

mmachanganya kati ya cultural changes ( utamaduni) na civilization maybe..

tungekubali kuwa jamaa walikuja kuharibu utamaduni wetu na kutuonesha wao mayeb utamaduni wa kutembea huku via vyetu vya uzazi viko njee na kuanza kuvaa nguo ikiwa ni pamoja na kujua kusoma codes za universal language ...

Ni sawa sawa na kusema people from amazone forest wapo more civilized kuliko sisi huku, umetumia cruteria gani kusema hivi kama sio kuwa primitive zadii!!?

Soma habari za kuzama kwa miji mashuhuru na soma zaidi kuhusu Timaeus and Critias, where it represents the antagonist naval power that besieges "Ancient Athens" ujue hiyo miji ya Antlantis halafu unambie nani alokuwa more civilized kati ya sisi weusi na watu wa Antlantis ?!!

hapa utasema Antlantis ilikuwa Africa!!!???

real??

Yapi mabaki ya kusema kuwa sisi tulikuwa more civilized kuliko watu weusi?!

Mimi nimesoma vitabu vingi sana vinavyojaribu kuongelea kuwa Watu weusi wapikuwa more civilized kuliko wazungu lakini hakuna connection au point za maana ambazo zimetoa ufafanuzi wa kina kuwa ilikuwaje kuwaje tukarudi nyuma zaidi ya kuongelea oooh tukatumikishwa na kuwa slaves lakini hazitoa relavants informations kuhusu technique zinazoeleweka namna jinsi tulivyojikuta akili zinatoholewa...

Na kama unazungumzia enslavement ya 1900s kuwa iliturudisha nyuma upo wrong sana kwa sababu hatukuwa na maendeleo yoyote but naweza nikasema jamaa waliharibu culture( utamaduni wetu) sasa tulikuwa na hizo barabara au usafiri wa maana zaidi kuliko sasa hivi??

Inshort hapo broo hutaweza kunidanganya kitu zaidi ya kukimbilia hyo vitabu huko nishapita ndo mana nilikuomba mwanzoni usummerize vimistari au mstari ikionesha point kubwa ya njia iliyotumika kusambaratisha hiyo civilization unayoijua wewe ila hakuna ulichofanya zaidi ya kukomaa nikasome nikasome

Sort chapter unayoikubali kuanzia hiyo volume 1 mpaka 3 ulipopasoma halafu uiweke hapa tuichambue kwa kile inachoeleza njia iliyotumika kupoteza kama sio kuelezea culture changes tu..

Halafu point za kusema eti mzungu anatumia Right au left hemisphere kufiklia mnazitoa wapi ? ni wazi tunajua kuwa upande mmoja ni more dominant kuliko upande mwingine na hiyo ni genetically ndo mana nakwambia utofauti huu upo hadi kwenye damu ila sio kugeuzwa akili ...

Dhahabu mlikuwa mnachezea bao bila kujua matumizi sahihi halafu leo anakuja mtu anaejua matumizi yake halafy unaanza kusema kakupunguzia maarifa ?? daaah aise safari bado ndefu sana...
 
Umenipa vitu fikirishi hasa ulipozingumzia cultural changes na civilization. Vile vile katika midahalo mingi pia nimewahi kuzungumzia sana hilo swala la kuchezea vitu kama madini kwa sisi nyakati hizo ila jamaa walikaa mpaka wakatengeneza microprocessor ni silicon, germanium sasa kama tilikuwa more advanced kwanini hawa leo hii wapo huko sisi hata extractions tu balaa. Mi nadhani turudi pale pale kwanini waliweza kutuzidi na walitangulia maana yake walikuwa mbele zaidi yetu mapema.
 
Imagine mpaka leo hata kufanya ground mineral extraction hatujui sasa tutajua matumizi ya hayo madini mkuu??

Halafu watu wanafanganywa eti ni kutengenezea pete!!!! serius??

Yani makampuni yakawekeze mabilioni ya pesa kitafuta madini ili yatengeneze pete na mikufu?? cant be seriuz aisee..

hapa watu watambue kuwa kuna sababu kubwa sana tena mimi naiita ya kigenetic kuhusu sisi kuwa primitive zaidi..
 
Yaaani wakati sisi tunalala mapangoni na kwenye mashimo wenzetu tayari walikuwa na technology yakusafiri kutoka ulaya kuja Africa alafu unatudanganya kuwa wao ndio walituibia tecnologia ,kama walikuja kuchukua nguvu za Giza naweza kuamini

Jamani, eti ",kama walikuja kuchukua nguvu za Giza naweza kuamini". Nimejikuta nacheka sana.
 
unaifahamu BLACK PANTHER
unajua kwanini movie hiyo ilizuiliwa kutoka??tatizo lako umekuwa indoctrinated mno yani western wameadopt mentality yako .

Kwenye hiyo movie wanawakumbusha HOW STRONG WE ARE AND CIVILISED SINCE LONG TIME AGO,WAZUNGU HAWAKUPENDA BECAUSE THEY KNOW THE TRUTH.
Hapo ndo unazidi kupotea kabisa...ukiulizwa swali na layman kuwa wazungu waliwahadaaa aancestors wetu utamjibuje sasa if at all una claim kuwa they had advanced civilization??

Hivi unaelewa maana ya neno civilization lakini au unachanganya na cultural believe??

"the stage of human social and cultural development and organization that is considered most advanced.""
hiyo ndo maana ya kuwa civilized, sasa kama upo advanced interm of social and organization unakuja kuzidiwa maarifa na mtu uliyekuwa unamzidi huoni kuwa kuna shida hapo na haingii akilini wao watu weupe watoe wapi maarifa ya kuja kukuzidi wewe..

mmachanganya kati ya cultural changes ( utamaduni) na civilization maybe..

tungekubali kuwa jamaa walikuja kuharibu utamaduni wetu na kutuonesha wao mayeb utamaduni wa kutembea huku via vyetu vya uzazi viko njee na kuanza kuvaa nguo ikiwa ni pamoja na kujua kusoma codes za universal language ...

Ni sawa sawa na kusema people from amazone forest wapo more civilized kuliko sisi huku, umetumia cruteria gani kusema hivi kama sio kuwa primitive zadii!!?

Soma habari za kuzama kwa miji mashuhuru na soma zaidi kuhusu Timaeus and Critias, where it represents the antagonist naval power that besieges "Ancient Athens" ujue hiyo miji ya Antlantis halafu unambie nani alokuwa more civilized kati ya sisi weusi na watu wa Antlantis ?!!

hapa utasema Antlantis ilikuwa Africa!!!???

real??

Yapi mabaki ya kusema kuwa sisi tulikuwa more civilized kuliko watu weusi?!

Mimi nimesoma vitabu vingi sana vinavyojaribu kuongelea kuwa Watu weusi wapikuwa more civilized kuliko wazungu lakini hakuna connection au point za maana ambazo zimetoa ufafanuzi wa kina kuwa ilikuwaje kuwaje tukarudi nyuma zaidi ya kuongelea oooh tukatumikishwa na kuwa slaves lakini hazitoa relavants informations kuhusu technique zinazoeleweka namna jinsi tulivyojikuta akili zinatoholewa...

Na kama unazungumzia enslavement ya 1900s kuwa iliturudisha nyuma upo wrong sana kwa sababu hatukuwa na maendeleo yoyote but naweza nikasema jamaa waliharibu culture( utamaduni wetu) sasa tulikuwa na hizo barabara au usafiri wa maana zaidi kuliko sasa hivi??

Inshort hapo broo hutaweza kunidanganya kitu zaidi ya kukimbilia hyo vitabu huko nishapita ndo mana nilikuomba mwanzoni usummerize vimistari au mstari ikionesha point kubwa ya njia iliyotumika kusambaratisha hiyo civilization unayoijua wewe ila hakuna ulichofanya zaidi ya kukomaa nikasome nikasome

Sort chapter unayoikubali kuanzia hiyo volume 1 mpaka 3 ulipopasoma halafu uiweke hapa tuichambue kwa kile inachoeleza njia iliyotumika kupoteza kama sio kuelezea culture changes tu..

Halafu point za kusema eti mzungu anatumia Right au left hemisphere kufiklia mnazitoa wapi ? ni wazi tunajua kuwa upande mmoja ni more dominant kuliko upande mwingine na hiyo ni genetically ndo mana nakwambia utofauti huu upo hadi kwenye damu ila sio kugeuzwa akili ...

Dhahabu mlikuwa mnachezea bao bila kujua matumizi sahihi halafu leo anakuja mtu anaejua matumizi yake halafy unaanza kusema kakupunguzia maarifa ?? daaah aise safari bado ndefu sana...
images%20-%202020-06-16T095348.152.jpeg
images%20-%202020-06-16T094947.850.jpeg
 
unaifahamu BLACK PANTHER
unajua kwanini movie hiyo ilizuiliwa kutoka??tatizo lako umekuwa indoctrinated mno yani western wameadopt mentality yako .

Kwenye hiyo movie wanawakumbusha HOW STRONG WE ARE AND CIVILISED SINCE LONG TIME AGO,WAZUNGU HAWAKUPENDA BECAUSE THEY KNOW THE TRUTH.View attachment 1480185View attachment 1480186

movie ilishatoka na watu waliangalia mzee.. ilizuiliwa ili iweje then what changed the movie and the contents ???

Sijawahi kuwa indoctrinated na western things kama unavyodhani ila ni mtu ninaweza kuhoji kitu kwa faida yangu..

Mimi nimekwambia kitu simple kuwa quote hiyo mistari inayoelezea ways walivyochange mind za watu weusi...ila hujafanya hivo..
 
Wali irelease baada ya msuguano sana the reason behind is wanataka waprove kuwa wao ni superior kumbe sisi "we were superior long time ago .

unataka vitu vyepesi huwezi soma kitabu kwa kunukuu mahala,anza kuanzia mwanzo ufunguke akili mkuu.

Kingine why huamini your history??na unamwamini mzungu kuwa yeye ndo mkweli kwa vitabu vyake hiyo ndo inaitwa highly indoctrinated.
movie ilishatoka na watu waliangalia mzee.. ilizuiliwa ili iweje then what changed the movie and the contents ???

Sijawahi kuwa indoctrinated na western things kama unavyodhani ila ni mtu ninaweza kuhoji kitu kwa faida yangu..

Mimi nimekwambia kitu simple kuwa quote hiyo mistari inayoelezea ways walivyochange mind za watu weusi...ila hujafanya hivo..
FB_IMG_1591480545863.jpeg
FB_IMG_1591487573969.jpeg
FB_IMG_1580507298070.jpeg
 
lifecoded chagua kitabu mkuu jisomee hao wazungu wanacheza game kuanzia,shape ya dunia,chanzo cha ulimwengu,elimu,space science,freemasons(hapa ndo wameiba kila kitu ila wanatumia hizi knowledge negatively ili waweze concur dunia)

Vitabu hivyo yani ukweli nje nje
71C2JLN2hOL._AC_UL400_SR262%2C400_.jpeg
51KWcZkn6WL._AC_UL400_SR320%2C400_.jpeg
510A3ttnGRL._AC_UL400_SR266%2C400_.jpeg
41G5KP5WFEL._AC_UL400_SR260%2C400_.jpeg
71Ey%2B8QdMuL._AC_UL400_SR308%2C400_.jpeg
41yn0U%2Bm4cL._AC_UL400_SR260%2C400_.jpeg
51GCT9G4C6L._AC_UL400_SR252%2C400_.jpeg
51vhNgotf2L._AC_UL400_SR252%2C400_.jpeg
51pbR1BCtwL._AC_UL400_SR266%2C400_.jpeg
51Q02rwHkiL._AC_UL400_SR260%2C400_.jpeg
41gX8rwKNsL._AC_UL400_SR266%2C400_.jpeg
51UgqIarhML._AC_UL400_SR266%2C400_.jpeg
916MIq7I5bL._AC_UL400_SR258%2C400_.jpeg
51stSKwrrpL._AC_UL400_SR258%2C400_.jpeg
81o2b7vhQdL._AC_UL400_SR300%2C400_.jpeg
51yy8pAxXTL._AC_UL400_SR254%2C400_.jpeg
61IfBo9%2B%2BwL._AC_UL400_SR240%2C400_.jpeg
51rCa2X%2BY4L._AC_UL400_SR266%2C400_.jpeg
51uUeXzvlvL._AC_UL400_SR266%2C400_.jpeg
81pryzJOcxL._AC_UL400_SR266%2C400_.jpeg
 
Hakikisha kwanza ukweli wa haya yaliyo andikwa.

Naona Uaftika umekujaa sana, nakuacha ukweli uende zake, hii inaingia kwa wote mpaka wazungu, ukipeleka mbele rangi basi hata ukweli huwezi kuubali zaidi ya kuwa kipofu wa macho na akili.
Wasalimie warabu
Unaweza ukasoma ukaprove wrong kama we sio kipofu wa akili na macho

Always ukweli hujitenga na uwongo endelea kuforce ugali wa mchele na dona.
 
Back
Top Bottom